wala haihitaji muujiza, ni kubadili mchezo tu na mentality! hhaa haaa; nitakupa scenario moja rahisi.
porto wanawapiga man bao moja kwa kuwa wako kwao na wana magoli mawili ya ugenini wanarelax au ku-lose concentration, whichever is good for us, mara man utd wanarudisha goli- inakuwa hivyo mpaka say dakika ya 88. Watu wote haaa man utd nje, mara macheda au mtu mwingine this time tuseme giggs anapachika bao dakika ya 90, au kwenye dakika za nyongeza zile- watu hureeeeeee man utd hao semi-finals.
tuseme gunners wanawachabanga villareal; gunners uso kwa uso na man utd, nini kinafuata hapo- man utd kajeruhiwa hataki tena masikhara, gunners nje.. man utd final na nani tuseme liverpool; nini kitatokea next? man utd hawatataka kudhalilishwa tena na liverpool; watu hao- kombe limeingia mikononi mwa mashetani wekundu!
kazi kwenu, huo ndio uchambuzi na predictions au wishes zangu whichever you perceive.