FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

...tuna ishu na kuvuka Bwawa la Maini.

In Hiddink I trust, on top of that si mnamalizia Stamford game ya pili.

Essien is back, Drogba ndio huyo yuko kwenye peak, waki-patner na Anelka pale mbele (wakipunguza uchoyo), then s'thing like cha last season might happen.
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=lVM4m8KucKs]YouTube - JF special: Road To Rome 1.1[/ame]

**Frame ya mwisho haiko scaled kufit comp window kwa hiyo neno Road to Rome halifit kwenye screen, nitafanyia marekebisho baadaye.
 
Tunawakati mgumu sana kwenye marudiano na hawa mbwa wa PORTUGAL!!! dah leo man sijaona ile game yetu ya ushindi..afu hawa jamaa ndo zao wakiwa kwao wanakomaa kweli japo kwa draw tu mana wana away goals..inauma kweli kama ndoto itazimikia kwenye uwanja wa porto!!!
 
Usikate tamaa, kama porto wanaweza kutamba "huku", man utd vile vile wanauwezo wa kuwatoa kule kule ... Ferdinand labda atakuwa amepona kwa sababu huko nyuma kwa kweli kunakera sana.
 
Road to Rome for Man Utd naona ipo kwenye hati hati, anyway lets hope miujiza itokee dhidi ya Porto!
 
wala haihitaji muujiza, ni kubadili mchezo tu na mentality! hhaa haaa; nitakupa scenario moja rahisi.
porto wanawapiga man bao moja kwa kuwa wako kwao na wana magoli mawili ya ugenini wanarelax au ku-lose concentration, whichever is good for us, mara man utd wanarudisha goli- inakuwa hivyo mpaka say dakika ya 88. Watu wote haaa man utd nje, mara macheda au mtu mwingine this time tuseme giggs anapachika bao dakika ya 90, au kwenye dakika za nyongeza zile- watu hureeeeeee man utd hao semi-finals.
tuseme gunners wanawachabanga villareal; gunners uso kwa uso na man utd, nini kinafuata hapo- man utd kajeruhiwa hataki tena masikhara, gunners nje.. man utd final na nani tuseme liverpool; nini kitatokea next? man utd hawatataka kudhalilishwa tena na liverpool; watu hao- kombe limeingia mikononi mwa mashetani wekundu!
kazi kwenu, huo ndio uchambuzi na predictions au wishes zangu whichever you perceive.
 
wish hizi ni nzuri, ila hayo magoli ya jioni mimi huwa yananiweka pabaya sana, i wish Man u wacheze mashambulizi ya mvua toka dk ya kwanza na kujipatia bao 3 hivi za chap chap. Kwa defense tuliyonayo sasa ni vigumu kuwazuia porto kupata bao agalau moja au mbili.
 
Endeleeni kupeana moyo washabiki wa Man utd!bora sisi the blues ambao gemu letu linaonekana gumu na kila mtu anawapa nafasi Liverpool kuvuka,ila naomba angalieni gemu baadaye ili uone miujiza ya kisoka.Man utd walifikiri wana uchochoro ila sasa ule uchochoro unaonekana unaota mbigiri.hiyo ndiyo champions league kila mtu ni mbabe.huko hamna DECI ili uvune chapu chapu lazima ugangamale...."You shall see the best of me"..Drogba!acha akafanye vitu vyake leo huko Anfield.
 
Duh Deci tena kwenye Fabo ?? tunasubiria game hiyo badae
 
porto-war2-top.jpg
 
Katika hiyo picha ebu nipe utabiri wako kabla ya game kuanza jinsi hao strikers wanavyoonekana mbele ya hilo kombe..umeona kitu hapo??
 
Mkuu Icadon usisahau kuanza kuandaa clip kama ile ya 2008....naanza kuiona Rome.
 
Haya leo ndio leo, wanasema adui yako muombee njaa ila mie nawatakia mafanikio wote wawili.
barca_cfc_war_top.jpg
 
Mpwa leo patakuwa hapatoshi hapa.....ngoja niwahi dengerua!
 
Nimeshajua Barcelona kiboko chao ni timu za England, maana mwaka juzi walitolewa na Liverpool, mwaka jana Man United, mwaka huu hawatoke pale darajani.
 
Back
Top Bottom