Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Sure mkuu lets hope tunaweza fika mbali,Form tuliyonayo sasa hivi, na form ya wapinzani wetu vinanipa kiburi. Kwa mara ya kwanza tangia 2015, this time sina wasiwasi kabisa kumface Bayern.
Hao Inter msimu huu ni tia maji tia maji, hawana maajabu. Bayern pekee ndie wa kutuhangaisha.
Sina matumaini ya kuchukua UEFA, kwa project tuliyonayo tunatakiwa kufika angalau robo fainali. The rest itakua ziada. Huu ni msimu wa kurekebisha mapungufu, na wachezaji wageni kuzoea (sio kila mchezaji mzuri anaweza kuperfom Barca).
Ila next season, hatutakua na excuse. We will be here to grab everything that comes ahead.
i think we are among of the teams yenye squad depth hivyo tunaweza fanya rotations na kuepuka majeruhi ukizangatia huu msimu mechi zimeshona sana kwa sababu ya world cup.