Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Never and never again[emoji23]Barcenyeto View attachment 2378210
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never and never again[emoji23]Barcenyeto View attachment 2378210
Iko wapiIago aspas hat trick
Hiyo ilikuwa second half,kuna mechi unashinda ila hukucheza vizuri ndio mpira ulivyo.Kikubwa 3 points.Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Tuko na mechi muhimu sana UEFA jumatano, ndio maana team haikutumia nguvu sana game ya jana. Pia Celta sio wachovu.Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Hii mechi ya jumatano ni do or die asee![emoji119]nafikiri hii ndo itakuwa our season match.Failure to win in this match ni direct to Europa,i pray isitokee tena hii,ni bora tubaki na ligi tu kuliko kwenda Europa, its shameful & wastage of time!.Tuko na mechi muhimu sana UEFA jumatano, ndio maana team haikutumia nguvu sana game ya jana. Pia Celta sio wachovu.
Cha msingi ni kwamba tulipata point tatu muhimu!
CCNP engineer, hujachoka kujiita mama Debora?Naombea leo Barcelona wafungwe 2 - 1 na INTER MILAN.
Mkuu inaelekea dictionary yako imejaa neno punyeto au unaipenda sana... uzi wa Barcelona wewe unaleta punyeto..Barcenyeto MJIANDAE kucheza uropa waja laana nyie kazi kupiga punyeto tu
Huo ujauzito wa Barca ulioubeba mbona umechukua muda mrefu sana?Barcenyeto MJIANDAE kucheza uropa waja laana nyie kazi kupiga punyeto tu
AhahahaChumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii timu ina laana aiseeeee