FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona Dembele kawakubalia PSG, hiyo 50M tumalizane na City watupatie Bernado Silva.
 
Share yetu kwenye hiyo 50M ni ndogo sana ndo maana Barca wanasita kufanya negotiations so sidhani kama itatosha kumpata Silva na City walishaeka ngumu kumuuza.
 
Nyie barcenyeto mmetufunga friendly match
Tutakutana kwenye ligi kenge nyie
Halla Madrid 🤍🤍
 
Share yetu kwenye hiyo 50M ni ndogo sana ndo maana Barca wanasita kufanya negotiations so sidhani kama itatosha kumpata Silva na City walishaeka ngumu kumuuza.
Kwanini share iwe ndogo? Maana nimeona hiyo 50M ni release clause.
 
Tunamchukua Cancelo, then tunamalizia kwa Bernado Silva. Naona Dembele ameamua kufanya madudu kama ya Neymar!

Anyway, acha tuchukue pesa!
 
Bernado (Complicated deal) ,City bado wanamtaka!,Cancelo tunaweza kumpata City wanaweza kumuachia.Naona focus Kwa sasa ni RB Kuna Cancelo na Ivan Fresneda,Cancelo mzuri ku attack na huyu dogo mzuri ku defend, kazi kwetu.
 
Kwenye pre season mpo serious barcenyeto ngoja ligi ianze sasa na Uefa mnandokea uropa huko watani bana
 
Bernado (Complicated deal) ,City bado wanamtaka!,Cancelo tunaweza kumpata City wanaweza kumuachia.Naona focus Kwa sasa ni RB Kuna Cancelo na Ivan Fresneda,Cancelo mzuri ku attack na huyu dogo mzuri ku defend, kazi kwetu.
Uzuri ni kwamba, Bernado anaitaka Barca na Barca inamtaka Bernado. City huwa hawana noma na sisi. Laporta anaweza kufanya namna.

Pale City naona kama Pep anafanya reshuffling, anaweka watu wapya. Ndio maana hata akina Mahrez wametimka. Sitashangaa kama wakituachia Silva.

Anyway, natamani sana hii deal itiki. Tukimpata Cancelo na Silva tutakua kamili kumkabili yeyote na popote bila kujali chochote!
 
Shida iliyopo ni pesa mkuu,inavyosemekana katika Dili la Dembele Barca watapata €25M tu kama akiuzwa kwa release clause yake ya €50M ,pesa ambayo hatuwezi kumpata Bernado!,labda tungefanya sale ya €70M+ huko na City hawawezi kumuuza kwa bei ya kawaida.Ndio maana kwa sasa priority ni kumpata RB Cancelo/Fresneda kwa pesa itakayopatikana kwa Dembele
 
Mkuu, dau la 50M ilikua ni release clause ambayo imesha-expire tangia juzi. Kwahiyo sasa hivi zinafanyika negotiations kati ya Barca na PSG, sio habari ya release clause tena!

Barca wanataka €100M. PSG bado wanajishauri. Na katika hii 100M, kama wakiilipa, basi Barca wanachukua full ammount. Ndio maana mimi hata sijasikitika kihivyo Dembele kuondoka.
 
Kuna mahali nilisoma kwamba kulikiwa na kipengele cha private clause sijui na kwamba PSG watalipa ile ile €50M hata kama ime expire.But anyway kama negotiations zikifanyika tukipata angalau €50M sio mbaya ila sidhani kama PSG wananaeza fika mpaka €70M+ huko.
 
Mkuu, dau la 50M ilikua ni release clause ambayo imesha-expire tangia juzi. Kwahiyo sasa hivi zinafanyika negotiations kati ya Barca na PSG, sio habari ya release clause tena!

Barca wanataka €100M. PSG bado wanajishauri. Na katika hii 100M, kama wakiilipa, basi Barca wanachukua full ammount. Ndio maana mimi hata sijasikitika kihivyo Dembele kuondoka.
Si umeona mkuu sisi tunapata € 25M tu hapa!.
Screenshot_20230803-181851_1.jpg
 
Back
Top Bottom