FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Blaugranas[emoji837][emoji838]
images%20-%202024-03-12T211249.002.jpg
 
Mpaka sasa sijaona sababu ya maana,Xavi na Tuchel kuachia ngazi katika vilabu vyao.
 
Mpaka sasa sijaona sababu ya maana,Xavi na Tuchel kuachia ngazi katika vilabu vyao.
Toxic environments mkuu,To manage Barca inahitaji kocha anaeweza ku handle pressure ya mashabiki + media.Barca na Bayern ni aina ya vilabu ambavyo kocha hupewi muda ,sijui maswala ya project sijui nini!.Mfano Barca now kiuhalisia ipo kwenye project ,but you know why hata kama ni project ,mashabiki Wanataka mpira mzuri +matokeo.Kwa jinsi Barca ilivyokuwa inacheza msimu huu ,angekua kocha mwingine na sio Xavi angeshaondoka. Legend status imembeba sana na uzuri anajua ku handle pressure vizuri na kuishi na wachezaji( Man management) ndio maana toka aseme ataondoka team atleast imeanza kucheza vizuri.
 
View attachment 2935317Cules wenzangu tumepangiwa PSG vipi tunatoboa?
Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund tunawamudu vizuri tu.
 
Kabisa hata mimi hawa PSG sioni kama ni tishio.

Wa kumchunga sana ni Mbappe.

Pia nimependa approach ya Xavi ya kupiga long balls na penetration passes.

Hawa tukifanikiwa kuwafunga fainali lazima maana watoto wa simeone na dortmund hawatusumbui.
 
Back
Top Bottom