Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
How the Mighty have fallen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team messi wote ni Barca naturallyHii timu haina mashabiki Tz
Hii timu si Haina hela??
ZipoHii timu si Haina hela??
Toxic environments mkuu,To manage Barca inahitaji kocha anaeweza ku handle pressure ya mashabiki + media.Barca na Bayern ni aina ya vilabu ambavyo kocha hupewi muda ,sijui maswala ya project sijui nini!.Mfano Barca now kiuhalisia ipo kwenye project ,but you know why hata kama ni project ,mashabiki Wanataka mpira mzuri +matokeo.Kwa jinsi Barca ilivyokuwa inacheza msimu huu ,angekua kocha mwingine na sio Xavi angeshaondoka. Legend status imembeba sana na uzuri anajua ku handle pressure vizuri na kuishi na wachezaji( Man management) ndio maana toka aseme ataondoka team atleast imeanza kucheza vizuri.Mpaka sasa sijaona sababu ya maana,Xavi na Tuchel kuachia ngazi katika vilabu vyao.
Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund tunawamudu vizuri tu.View attachment 2935317Cules wenzangu tumepangiwa PSG vipi tunatoboa?
Kabisa hata mimi hawa PSG sioni kama ni tishio.Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund tunawamudu vizuri tu.