Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikimchachia huyo huwa anakimbia jukwaa...so uwe unamuunga mkono vilevile
nengependekeza uongozi wa barca kwa haraka iwezekanavyo watafute beki maana beki za barca zinaruhusu adui kupita kwa haraka pique anatakiwa kupata msaidizi pale vile vile victor valdes kiwango kimepungua lazima barca watafute kipa imarahii habari sio nzuri naona president roselll muda mfupi uliopita ametangaza hili.. get well soon tito
natumai tutapata kocha mpya na beki mpya imara.. visca el barca............
nengependekeza uongozi wa barca kwa haraka iwezekanavyo watafute beki maana beki za barca zinaruhusu adui kupita kwa haraka pique anatakiwa kupata msaidizi pale vile vile victor valdes kiwango kimepungua lazima barca watafute kipa imara
Mie nipo Juve ,bahari ilichafuka so,wavuvi tukajihadhari kwa usalama,aluta kontinua
ha ha haa!haya bhana!vipi huyu mzee ni mzuri?mie simjui kabisa,sijui Martino ah!hebu tumwagie kidogo najua utataja hadi mtaa anaoishi ndo maana nimekuchokoza!
Ah hah hah maana hapo umempatia kweli...
Ngoja aje usikie hekaya zake sasa...
Hachelewi kukwambia huyo kocha ni mlaji mzuri wa Nyanya chungu na Mnafu...
Dah Gutierez ana burudani sana
haya bwana mie sina usemi,kwa kifupi Gerardo Martino a.k.a Tata ni swahiba mkubwa sana wa babake mchezaji bora wa dunia alieweka rekodi mara 4 mfululizo Lionel Andrea Messi Cuccittini,aitwae Jorge amezaliwa mji 1 maaruf sana nchini Argentina ambako pia wamezaliwa nyota eg Messi,Maradona na Angelo Fabian Di Maria panaitwa Rosarioha ha haa!haya bhana!vipi huyu mzee ni mzuri?mie simjui kabisa,sijui Martino ah!hebu tumwagie kidogo najua utataja hadi mtaa anaoishi ndo maana nimekuchokoza!
hahaha mzee wa Tuarati,mimi bado nakumbuka eti Van Der Sal aliondoka bila kuaga aliposikia Buffon anakuja hahahaha mzee wa Turati wewe umezidi teh teh teh,tumwagie na Gaucho ilikuaje akaondoka PSG kwenda Barcelona alipokuja Okocha na Mikel Atramatian Arteta?mwaga utamu najua utakuja na mbwebwe nyingi kama mhubiri wa pale Jangwani lol.Ah hah hah maana hapo umempatia kweli...
Ngoja aje usikie hekaya zake sasa...
Hachelewi kukwambia huyo kocha ni mlaji mzuri wa Nyanya chungu na Mnafu...
Dah Gutierez ana burudani sana
haya bwana mie sina usemi,kwa kifupi Gerardo Martino a.k.a Tata ni swahiba mkubwa sana wa babake mchezaji bora wa dunia alieweka rekodi mara 4 mfululizo Lionel Andrea Messi Cuccittini,aitwae Jorge amezaliwa mji 1 maaruf sana nchini Argentina ambako pia wamezaliwa nyota eg Messi,Maradona na Angelo Fabian Di Maria panaitwa Rosario
kwa sasa Barca sio rahisi kutamba tena maana ni kama inasukwa upya,so siwezi kusema nimeridhika nae au la,hapana timu inajipanga upya hauwezi kumjaji kwa msimu wa kwanza akifanya vizuri au vibaya,tumpe muda(Jangala anasema uongozi kazi ndugu zanguni nipeni "mula"(muda))so kwa sasa si rahisi kutegemea Barca itakuwa na makali yake kama ya siku zote,ila mchezo wa tikitaka ni kama jadi chenga twawala,ila mafanikio inabidi subira,itabidi tuwe wasafiri kafiri kama AC Milan anavyosema Gang Chomba,nawapisha wale warudio na waendao kwa haraka,mwenda pole hajikwai,akijikwaa haanguki,akianguka haumii,kuumia kwake kidogo tu,ndio mwendo nadhani kwa mafanikio Barca itakuwa hivyo sasa maana ugeni wa kocha na baadhi wachezaji wanaondoka wengine wapya wanaingia.wewe umeridhika naye au ni gamble?