FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hii habari sio nzuri naona president roselll muda mfupi uliopita ametangaza hili.. get well soon tito
natumai tutapata kocha mpya na beki mpya imara.. visca el barca............
nengependekeza uongozi wa barca kwa haraka iwezekanavyo watafute beki maana beki za barca zinaruhusu adui kupita kwa haraka pique anatakiwa kupata msaidizi pale vile vile victor valdes kiwango kimepungua lazima barca watafute kipa imara
 
Mie nipo Juve ,bahari ilichafuka so,wavuvi tukajihadhari kwa usalama,aluta kontinua
 
Gerardo-Tata-Martino-en-una-im_54378032538_54115221155_600_244.jpg

(Official) Gerardo Martino is the new coach of @FCBarcelona #fcblive
 
nengependekeza uongozi wa barca kwa haraka iwezekanavyo watafute beki maana beki za barca zinaruhusu adui kupita kwa haraka pique anatakiwa kupata msaidizi pale vile vile victor valdes kiwango kimepungua lazima barca watafute kipa imara

naunga mkono hoja kaka
 
Mie nipo Juve ,bahari ilichafuka so,wavuvi tukajihadhari kwa usalama,aluta kontinua

ha ha haa!haya bhana!vipi huyu mzee ni mzuri?mie simjui kabisa,sijui Martino ah!hebu tumwagie kidogo najua utataja hadi mtaa anaoishi ndo maana nimekuchokoza!
 
ha ha haa!haya bhana!vipi huyu mzee ni mzuri?mie simjui kabisa,sijui Martino ah!hebu tumwagie kidogo najua utataja hadi mtaa anaoishi ndo maana nimekuchokoza!

Ah hah hah maana hapo umempatia kweli...
Ngoja aje usikie hekaya zake sasa...
Hachelewi kukwambia huyo kocha ni mlaji mzuri wa Nyanya chungu na Mnafu...

Dah Gutierez ana burudani sana
 
Ah hah hah maana hapo umempatia kweli...
Ngoja aje usikie hekaya zake sasa...
Hachelewi kukwambia huyo kocha ni mlaji mzuri wa Nyanya chungu na Mnafu...

Dah Gutierez ana burudani sana

ha ha haa!ngoja aje hapa!
 
ha ha haa!haya bhana!vipi huyu mzee ni mzuri?mie simjui kabisa,sijui Martino ah!hebu tumwagie kidogo najua utataja hadi mtaa anaoishi ndo maana nimekuchokoza!
haya bwana mie sina usemi,kwa kifupi Gerardo Martino a.k.a Tata ni swahiba mkubwa sana wa babake mchezaji bora wa dunia alieweka rekodi mara 4 mfululizo Lionel Andrea Messi Cuccittini,aitwae Jorge amezaliwa mji 1 maaruf sana nchini Argentina ambako pia wamezaliwa nyota eg Messi,Maradona na Angelo Fabian Di Maria panaitwa Rosario
 
Ah hah hah maana hapo umempatia kweli...
Ngoja aje usikie hekaya zake sasa...
Hachelewi kukwambia huyo kocha ni mlaji mzuri wa Nyanya chungu na Mnafu...

Dah Gutierez ana burudani sana
hahaha mzee wa Tuarati,mimi bado nakumbuka eti Van Der Sal aliondoka bila kuaga aliposikia Buffon anakuja hahahaha mzee wa Turati wewe umezidi teh teh teh,tumwagie na Gaucho ilikuaje akaondoka PSG kwenda Barcelona alipokuja Okocha na Mikel Atramatian Arteta?mwaga utamu najua utakuja na mbwebwe nyingi kama mhubiri wa pale Jangwani lol.
 
haya bwana mie sina usemi,kwa kifupi Gerardo Martino a.k.a Tata ni swahiba mkubwa sana wa babake mchezaji bora wa dunia alieweka rekodi mara 4 mfululizo Lionel Andrea Messi Cuccittini,aitwae Jorge amezaliwa mji 1 maaruf sana nchini Argentina ambako pia wamezaliwa nyota eg Messi,Maradona na Angelo Fabian Di Maria panaitwa Rosario

wewe umeridhika naye au ni gamble?
 
wewe umeridhika naye au ni gamble?
kwa sasa Barca sio rahisi kutamba tena maana ni kama inasukwa upya,so siwezi kusema nimeridhika nae au la,hapana timu inajipanga upya hauwezi kumjaji kwa msimu wa kwanza akifanya vizuri au vibaya,tumpe muda(Jangala anasema uongozi kazi ndugu zanguni nipeni "mula"(muda))so kwa sasa si rahisi kutegemea Barca itakuwa na makali yake kama ya siku zote,ila mchezo wa tikitaka ni kama jadi chenga twawala,ila mafanikio inabidi subira,itabidi tuwe wasafiri kafiri kama AC Milan anavyosema Gang Chomba,nawapisha wale warudio na waendao kwa haraka,mwenda pole hajikwai,akijikwaa haanguki,akianguka haumii,kuumia kwake kidogo tu,ndio mwendo nadhani kwa mafanikio Barca itakuwa hivyo sasa maana ugeni wa kocha na baadhi wachezaji wanaondoka wengine wapya wanaingia.
 
In Advance Kesho(28/07) ni Birthday ya Pedro Rodriguez Ledesma(Pedrito)aliezaliwa visiwa maarufu vya migomba huko Canary jimbo la kujitegemea Las Palmas,Spain
 
28 - 08 - 2013 at Camp Nou

Barcelona have claimed the Supercopa de Espana with thanks to an away goals victory over Atletico Madrid following a 0-0 draw at Camp Nou.
The Blaugrana enjoyed the lion's share of possession at Camp Nou and Lionel Messi missed a penalty late on, but in the end Neymar's draw-rescuing away goal a week ago proved to be the difference.

2013-08-28_BARCELONA-ATLETICO_28.v1377733563.JPG
 
Hodi jamani.hii nyumba mbona imejaa vumbi na buibui hivi?wenyewe mko wapi jamani?haya ngoja niendelee mwenyewe mie..brown kapteni wa Celtic kapigwa red,kwa mara nyingine Barca wanacheza na Celtic pungufu,Neymar kila akishika mpira anakutana na wanamieleka wanamwangusha,sijui wanataka acheze huku anatambaa?Samaraaas..dah!hamuwezi kuisusa thread ya timu kubwa kama hii ngoja niwafundishe uzalendo enyi Gutierez na wenzio ntaunguruma peke yangu hapa Neymaaar,..ha,kakosa pale jamani?
 
James Forestii daah,kona,..Mulgrew kichwaa gooo kakosa mama miaa..duh!
 
Neymaa,Fabregaaaaaaas,what a header,and Barca are front 1-0!
 
Back
Top Bottom