FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

sasa kama walifanya aibu ndio tuwakimbie? no way, hapa ni Real Madrid all the way.
 
Tupo wa Los Blancos a.k.a Los Merengues.....naizungumzia Real Madrid Club de Futbol....................Real Madrid

Mkuu Balatanda tupo pamoja huko. Vipi jana uliangalia mechi yetu na Valencia? ilikuwa mechi nzuri, jana tulikuwa na uwezo wa kufunga hata mabao nane. Na kwa mara ya kwanza katika msimu huu nimeona tumeshambulia toka pande zote, pembeni kulia na kushoto, pia kati kati. tofauti na mechi nyingi ambazo tulikuwa tukishambulia kupitia kati moja kwa moja. tuombe Mungu Villareal na Sevilla watubebe.
 
fc_barcelona_logo.jpg

1.Firstlady1

nipo hapa fan wa barca!!!
my fav players sergio busquet na pedro.
 
he he he.....yah mimi alipo ndio hapo hapo....kwani yupo wapi?....help pls

hahaaa wa kwetu kweli kweli we mtambo wa ile kitu isiyo na rangi

u made me laugh out loudly!!!
 
hivi hawa real madrid si walifanya aibu juzi juzi... 2:0

Kufungwa si aibu bana...ni sehemu ya matokeo ya mchezo....Kuna ama kushinda,ama kushindwa ama kutoka suluhu/sare............Huwa sihisi aibu hata kidogo timu yangu ikifungwa.............sanasana nasikitika tu kwa kukosa pointi 3
 
Mkuu Balatanda tupo pamoja huko. Vipi jana uliangalia mechi yetu na Valencia? ilikuwa mechi nzuri, jana tulikuwa na uwezo wa kufunga hata mabao nane. Na kwa mara ya kwanza katika msimu huu nimeona tumeshambulia toka pande zote, pembeni kulia na kushoto, pia kati kati. tofauti na mechi nyingi ambazo tulikuwa tukishambulia kupitia kati moja kwa moja. tuombe Mungu Villareal na Sevilla watubebe.

Niliona game na tulistahili ushindi wa magoli mengi tu..........angalau tumepunguza gap la point moja na Barca.......Wao sasa wana point 84 Madrid 83
 
ha ha ha....wakwetu wewe upo timu gani?

ya husband ili kuepusha migogoro ya ndoa!!!

vinginevyo huwa nina tabia kama yako ya kuhama na mchezaji, kwenye world cup inayoshinda mechi ndo hiyo hiyo....

hahaha part of fun huh!!!
 
kheee husband this was fast huh!!!
thanks....ila jana mmh!!!

Usinikumbushe machungu miye.........Ilikuwa siku mbaya sana kwangu.......Thank God angalau Madrid walinipooza kwa kuwalamba Valencia...................Tugange yajayo.hahaaaaaaaaa
 
Tupo vijana wa Catalunya-Mes que un club
 
Timu zinazocheza soka ya kuvutia kama Barca katika ngazi ya vilabu au Brazil katika ngazi ya Taifa zinapendwa na kila mtu. Kwa maana hiyo kila mtu ni fan wa Barca na Brazil!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom