Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

We ni kifaranga tu... tunataka MAMA mtu ajitokeze aseme!! Hizo fedha hazijatoka mbinguni kwenda kwa hao unaowashadadia.. Fedha hizo ni kodi zetu sisi watanzania... TANESCO ni shrika la UMMA, linaendeshwa kwa kodi zetu.. Sasa mabwana zako wanashirikiana na hao wabia feki kuingia mikataba mibovu inayotafuna mamilioni yetu!!

Hizo fedha ni za umma, hazijatoka mbinuni!!! Nyama weee!!!!!!

Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee
inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya
kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia
debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo
inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja
wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano
kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90
kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu
wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania
 
Tujikumbushe kidogo hizi kauli zao

MASWI
Mwambie Kafulila (Mbunge wa Kigoma Kusini) nimesema wazi yeye ni mshenzi. Kafulila na mwenzake wamechukua hela na wamepewa hayo makaratasi ya kufungia vitumbua

Jaji Werema
Escrow si fedha ya serikali,fedha ya serikali haikai kwenye account hiyo, kama unataka kuleta mambo ya nje nisubiri pale nje.

Prof. Muhongo
Jamani napenda kusema kujadili suala hili la account ya Tegeta Escrow ni sawa na upuuzi kwani fedha hizo siyo za umma kama watu wanavyolazimisha.

Mizengo Pinda
Hoja iliyopo na inayoleta ubishani ni kuondoa fedha kutoka akaunti ya Escrow na kuzipeleka IPTL. Tunajiuliza kama ni ufisadi,ni ufisadi wa nini wakati fedha zile ni za IPTL

Source: Gazeti la Mtanzania
 
Tunaomba wote hao waendelee na KAULI hizo, wasihamishe magori baada ya report ya CAG na TAKUKURU kuwa wazi!

Atakayebadilisha hata nukta moja ya kauli yako tutajua ni mwizi na anajitetea, baada maji kufika shingoni
 
Mkuu hao jamaa ishu ya kubadili kauli wala sio jambo la kutafakari........Ni washenzi na hawana soni.
 
Baada ya kusikia kelel nyingi juu ya suala la ESCROW, Nimepitia taarifa mbalimbali zinazohusu suala la fedha za account hii ya EScrow kwa upole, utulivu, unyenyekevu na bila ushabiki. Katika taarifa hizo nimepata kuelewa kuwa fedha za Escow si za umma, wala hazijaibiwa ka namna yoyote. Bali fedha hizi ni mali ya kampuniya IPTL kupitia kampuni tanzu mbili yaani Menchmar na VIP.

Kwa muda wa zaidi ya miaka miwili kumekuwapo na mgogoro wa waziwazi wa kimaslahi kati ya wamiliki wa IPTL ambao ni kampuni ya VIP na kampuni ya Mechmar kutoka Malaysia. Tuliokuwa tunafuatilia habari, hili si jambo geni

Cha ajabi kwangu, watu wengi wanashabikia bila kujua wala kujali kufuatilia kuwa account ya escrow ilianzishwaje. Taarifa zilizowazi zinaonyesha kwamba Mahakama Kuu, kufuatia mgogoro uliokuwepo, iliamua pande zote mbili yaani VIP na Mechmar zisaini hati ya makubaliano juu ya kutunza fedha za malipo ya kila mwezi ya umemeyatokanayo na umeme unaozalishwa na IPTL na kuiuzia TANESCO. Mpaka hapo nadhani wenzangu mmeanza kupata picha ya hili suala sumbufu.

Taarifa zinaonyesha kuwa, mahakama ilielekeza malipo hayo yahifadhiwe katika akaunti hiyo mpya ya ESCROW iliyofunguliwa Benki kuu hadi mgogoro kati ya wabia hawa wawili utakapoamriwa.
Mpaka hapo ndugu zangu, ikiwa taarifa hizi ni za kweli, mtakubaliana nami kuwa fedha za ESCROW ni mali ya IPTL. Yaani MENCHMAR na VIP. Zaidi ni majungu na wivu.

Sasa tujiulize mgogoro upo wapi? walalamikaji ni akina nani? fedha ambazo TANESCO imeridhia kulipia huduma inayotolewa kwa kazi ambayo imeshafanywa zinakuwaje fedha za umma?Ijulikane kuwa malipo yoyote ya taasisi nyeti kama TANESO hufanywa kwa kufuata taratibu na kuzingatia kanuni. maana yake malipo yale ni malipo halali kwa kazi halisiiliyofanywa.

Mwenzenu nimeona kuwa yawezekana jambo hili ni zaidi ya haya yanayotaarifiwa kwa uwazi.Pengine kuna nguvu inayoendesha mambo nyuma ya pazia. Suala lenyewe hapa lipo katika swali la kwanini baadhi ya viongozi wa umma wamepata mgao (Kama kweli wamepata, mimi hainihusu wala sina muda wa kuwaonea wivu). Hata hivyo bado hakuna sababu dhahiri ya kuziita fedha za ESCROW kuwa ni za umma. Zinabaki kuwa ni malipo ya umeme ambao TANESCO imeridhia kuwa umezalishwa na IPTL

Najua ni rahisi kuzusha mambo na kuyafanya yawe ni mjadala mkubwa katika jamii ya watu waliokosa mweleke na kukata tamaa. Wengi wetu tuna madeni, mipango yetu na njozi zetu zimevurugika... katika hali hii ni rahisi kupenda habari za uzushi zaidi kuliko za kweli na zenye tija. Lakini katika suala hili la fedha za Escrow...pesa hizo ni za IPTL.

Nahisi kuna mvutano wa makundi ya kisiasa. Lakini, ndugu zangu, kwa wanasiasa, muda huu ni muda wa kujipambanua. wale ambao watashindwa katika medani za ushindani katika mchezo huu rahisi, yamkini hata kuwa viongozi wa umma hawafai. Mimi niweke wazi, kama ningekuwa ni PM au AG nisingekubali kujiudhuru kwajambo lisilonihusu mimi wala kuuhusu umma, hata kama nimepokea fedha za ESCROW kwa maendeleo ya umma.

Mwenye taarifa tofauti atuletee hapa.... uzushi uwekwe pembeni, matatizo binafsi yawekwe pembeni...ebu tupeni raha ya kusoma vigezo na ukweli, si uzushi na kejeli. Suala hili limenipotezea muda kulifuatilia ili nione uhalisia ulipo...kumbe twajadili mipasho na uzushi. jambo hili si jema kwa ustawi wa jamii inayoheshimu utu, sheria na misingi ya utawala bora.

Kwani CAG kasemaje?

Kama hela ni za umma,kivipi?

Kama sio za umma kivipi?
 
Kanye ulale,watu huko dodoma walioiba wanataman dunia ipasuke ww nae unaleta utumbo wako..
 
Kwa hiyo CAG na TAKUKURU walifanya makosa? Some people are extremely funny.
 
Mkuu una maneno mengi sana, ila inaonekana hujui kuwa TANESCO ni shirika la umma pili nafikiri pia hujapitia vizuri taarifa ya CAG pamoja na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa kuhusu kesi iliyoifungua TANESCO. Kajipange.
 
Kama pesa ni zao kwa nini wanahangaika kueagawia viongozi wetu?wanataka kuficha nini?hukumu ya mahakama ya kibiashara uliiona?
jiza lishaingia jombaa.
 
Hii sio bure, mleta mada utakua miongoni mwa waliopata ule mgao.
 
Hahah…wamekulipa uje na maigizo sio…?? we una interesr gani hadi ufuatilie hizi habari out of curiosity kumsafisha huyo sura mbaya na wezi wenzie?

Hatuna muda wa kukueleza chochote coz tunataka kudeal na mwenye mbwa! wewe endelea kubweka tuu!!
 
Hakika huko uliko mavi yana gonga chupi

Cha wananchi hakiliwi kizembe
 
Back
Top Bottom