Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

Wydad wanamtaka Mzize mbona hamuwauzii, mkisikia mchezaji anakuja Simba ndio mnaona alitakiwa kwenda nje.
Offer ya Yanga Kwa Mzinze Iko wazi, hata nyie mnaruhusiwa, Mwambieni Mhindi kuwa mezani kunatakiwa 2.8 B.
 
Yanga walitaka wamfundishe adabu? Walitaka kufanyaje?
Angecheza wapi sasa zaidi ya kuchutama,,kama angekataa kurudi kambini asingecheza popote mpaka mkataba wake ungeisha ilo lingekuwa funzo tosha kwake na wapambe wake waliomrubuni!
 
Halafu ikawaje sasa? Embu tukumbushe. Nani aliangukia pua?
 
Kwani kesi ilikuwaje labda nikuulize kama ulifatilia? Fei alishinda? Karejee nakala za hukumu za kamati za Sheria na hadhi za wachezaji jibu utalipata usiulize vitu ambavyo vilikuwa wazi
 
Acha janja janja kuzunguka na maneno mkuu, Umesema nia ilikuwa akae benchi ashike adabu yake, sasa ikawaje? Ameishika hiyo adabu? Tukumbushe.
 
Nyie ndio mlikuwa wapambe wake nadhani,,Mumshukuru Rais vinginevyo adabu angeishika
 
Hahaha, Fei kapigania maslahi kayapata. Tuendelee mbele.
Kapigania au kapiganiwa na Rais,,yeye asingeweza na kutokuwa na elimu kwa wachezaji nalo ni tatizo jingine,,unasaini mkataba na ujui mkataba unasemaje ni utahaira mwingine kwa wachezaji kama fei!
 
Ilishaisha hiyo mzee, Kijana anatumikia Azam na Timu ya taifa huku akipata maslahi yake aliyoyataka. Kama nia ilikuwa akae benchi ndo ishafeli. Ganga yajayo mkuu.
 
kuwa na ubora tu si kigezo cha kusajiliwa ulaya au nje ya nchi,kuna mambo kama usimamizi wako,klabu yako na hata utayari wako wa kwenda huko ukoje.
Hitimisho:

Fei toto ni wa kawaida sana na hana maajabu. Ni wa hapahapa ligi moja na Namungo, Mashujaa na Kiembe Samaki Fc
 
Back
Top Bottom