Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Offer ya Yanga Kwa Mzinze Iko wazi, hata nyie mnaruhusiwa, Mwambieni Mhindi kuwa mezani kunatakiwa 2.8 B.Wydad wanamtaka Mzize mbona hamuwauzii, mkisikia mchezaji anakuja Simba ndio mnaona alitakiwa kwenda nje.
Angecheza wapi sasa zaidi ya kuchutama,,kama angekataa kurudi kambini asingecheza popote mpaka mkataba wake ungeisha ilo lingekuwa funzo tosha kwake na wapambe wake waliomrubuni!Yanga walitaka wamfundishe adabu? Walitaka kufanyaje?
Halafu ikawaje sasa? Embu tukumbushe. Nani aliangukia pua?Angecheza wapi sasa zaidi ya kuchutama,,kama angekataa kurudi kambini asingecheza popote mpaka mkataba wake ungeisha ilo lingekuwa funzo tosha kwake na wapambe wake waliomrubuni!
Ulitaka nikuwekee copy yake hapa? Maadili ayaturuhusu kufanya ivyo kama unautaka njoo ofisini tutakuonyesha!Mkataba wa Fei umeuona?
Kwani kesi ilikuwaje labda nikuulize kama ulifatilia? Fei alishinda? Karejee nakala za hukumu za kamati za Sheria na hadhi za wachezaji jibu utalipata usiulize vitu ambavyo vilikuwa waziHalafu ikawaje sasa? Embu tukumbushe. Nani aliangukia pua?
Acha janja janja kuzunguka na maneno mkuu, Umesema nia ilikuwa akae benchi ashike adabu yake, sasa ikawaje? Ameishika hiyo adabu? Tukumbushe.Kwani kesi ilikuwaje labda nikuulize kama ulifatilia? Fei alishinda? Karejee nakala za hukumu za kamati za Sheria na hadhi za wachezaji jibu utalipata usiulize vitu ambavyo vilikuwa wazi
Nyie ndio mlikuwa wapambe wake nadhani,,Mumshukuru Rais vinginevyo adabu angeishikaAcha janja janja kuzunguka na maneno mkuu, Umesema nia ilikuwa akae benchi ashike adabu yake, sasa ikawaje? Ameishika hiyo adabu? Tukumbushe.
Hahaha, Fei kapigania maslahi kayapata. Tuendelee mbele.Nyie ndio mlikuwa wapambe wake nadhani,,Mumshukuru Rais vinginevyo adabu angeishika
Kapigania au kapiganiwa na Rais,,yeye asingeweza na kutokuwa na elimu kwa wachezaji nalo ni tatizo jingine,,unasaini mkataba na ujui mkataba unasemaje ni utahaira mwingine kwa wachezaji kama fei!Hahaha, Fei kapigania maslahi kayapata. Tuendelee mbele.
Ilishaisha hiyo mzee, Kijana anatumikia Azam na Timu ya taifa huku akipata maslahi yake aliyoyataka. Kama nia ilikuwa akae benchi ndo ishafeli. Ganga yajayo mkuu.Kapigania au kapiganiwa na Rais,,yeye asingeweza na kutokuwa na elimu kwa wachezaji nalo ni tatizo jingine,,unasaini mkataba na ujui mkataba unasemaje ni utahaira mwingine kwa wachezaji kama fei!
Hitimisho:kuwa na ubora tu si kigezo cha kusajiliwa ulaya au nje ya nchi,kuna mambo kama usimamizi wako,klabu yako na hata utayari wako wa kwenda huko ukoje.