Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Kila nikiangalia hili sakata la Fei Toto natamani sana kumjua aliyekuwa mshauri wake tangu mwanzo. Yatasemwa mengi lakini pamoja na kuwa na haki ya madai yake lakini kosa kubwa alilofanya ni kuondoka kambini ambako ndio sehemu ya kazi. Wenzake duniani kote huwa wanafanya mgomo baridi lakini mazoezini wanaenda na kwenye mechi wakipangwa wanacheza chini ya kiwango. Ikishafika hali hiyo basi wenye timu wanakuwa hawana ujanja kwani hawwawezi kuthibitisha mahali popote kuwa unacheza chini ya kiwango au unawahujumu basi kwa shingo upande wanakuweka sokoni unaoondoka. Ila hii mbinu aliyotumia Fei Toto ni ya hovyo sana na sidhani hata huko CAS kama atatoboa.

Mfano mdogo tu wa hivi karibuni ni wa mchezaji wa Viper Manzoki. Yeye alifanya mgomo baridi basi Vipers wakamuuza China.
 
Na pia sheria ya Fifa inasema.. ukimtaka mchezaji omba mazungumzo na club.. sio unakutana naye uchochoroni... eti shika hii hela vunja mkataba...

TFF wangebariki huu upuuzi ligi ingeharibika... Timu nyingi zingerubuni wachezaji kwamba vunja mkataba kesho njoo huku..
 
Ndio utaratibu wa wapi huo, wakuchoka then uvunje mkataba....!? Yaani ukiuke mkataba kwa makusudi alafu utarajie kulipa fidia.....!?? Hapa ni Big no lazima aadhibiwe kwa utovu wa nidhamu


Atalipa gharama ya matendo yake na itakuwa fundisho kuu...

Wacha Yanga itoe Somo...
 
hatimaye kiongozi wa "ile pesa tuma kwa namba hii" kapatikana
 
Km wee huna acha kutoa, wengine tutatoaaa.
 
Unatesekaa na nini? Sasa povu lotee hili vipii?
Unawashwaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee
 
SEMA UNAWAOMBA SIMBA WAKUPE HELA....YANGA HAWAWEZI KUKUPA MCHANGO MOUMBAVU WEWE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Unatesekaa na nini? Sasa povu lotee hili vipii?
Unawashwaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee
We mtoto kuwa na adabu wewe.

Unadhani we unavyowashwa pa kunyea ndio kila mtu. Hebu kaa mbali kabisaaaaa na mimi asee. Niondolee mikosi yako kiumbe usio na jinsia wewe.

Achana na mimi kabisa. Ukinifatafata nakupeleka Uganda. Hapa si mnaringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…