Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Kila upande unaoshiriki case unatakiwa kutoa $20K

Na kwakua Yanga wao hawana maslahi na hii case hivyo itamlazimu Feisali kuwalipia Yanga na kujilipia yeye

Mkurugenzi wa sheria wa Yanga Simon Patrick alisema walitoa zaidi ya milioni 98 hiyo kwa ajili ya kufungua kesi tu.

Na alisema wenzetu (Simba) walikuwa wanawabeza wakijua hawawezi kumudu hiyo gharama.
Yanga alikuwa na jopo la mawakili ila gharama ya CAS hazidi 50m.
 
Nguvu moja[emoji123][emoji2957][emoji2957]
IMG-20230525-WA0128.jpg
 
Yanga alikuwa na jopo la mawakili ila gharama ya CAS hazidi 50m.
Gharama haikwenda kulipa jopo la mawakili

Gharama zilizokuwa zinazungumziwa zilikuwa zimelenga kufungua jalada CAS
 
Afate taratibu, alisaini mkataba, kuvunja Kuna masharti, mi mwenyewe Kuna kazi nilivunja mkataba naogopa hata kudai sent nccf lazima utaambiwa uende kazini kwako kwa zamani upewe barua na hawawezi kunipa , malizia mkataba wako kwanza, Najua nimeharibu mwenyewe, najua nikienda timbwili lake na hivi hawakutaka niondoke, [emoji17]
NCCF ndio nini kilaza wewe?
 
Ila wewe unaewachangia CCM kupitia tozo za mihamala isiyojulikana inaenda kufanyia shughuli gani una akili timamu?

Sisupport kampeni ya Feisal ila haimaanishi watamuunga mkono hawana akili, kila mtu ana sababu zake.
 
Mimi nachokielewa hapo ni kwamba inatengenezwa backup ili siku ikifika muda wa kuanza kuulizana pesa ya kwenda CAS umeipata wapi tayari awe na hoja kupitia post hii.

Ila naamini kabisa kuwa Feisali hategemei pesa za michango ili aende CAS
Una akili sana bwana Scars na mm nilikuwa nataka niandike hivyoo..kweli wana Simba ni vichwa..
 
Back
Top Bottom