Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Hivi zile milion 160 sijui alizowapa Yanga kuvunja mkataba nao wakamrudishia zilienda wapi? Si atukie hizo hizo tena zinazidi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zimeliwa urojo Zanziberi!
 
WATANZANIA NAOMBA MNICHANGIE - FEISAL

Kupitia mtandao wa instagram mchezaji wa Yanga Feisal Salum amepost akiomba wapenda soka Nchini kumchangia ili apate fedha zakufungua kesi Mahakama ya kimichezo CAS dhidi ya klabu yake ya Yanga

Kiasi kinachohitajika ni zaiai ya milioni 55View attachment 2634537
Utopolo acheni unyama....
 
Umeandika nini? Wacha hili lifike mwisho ili tuone kati ya viongozi wa Yanga na Feisal ni upande upi upo sahihi.
Viongozi wa timu ni wa hovyo sana lakini hao hao wa ovyo imeifanya timu icheze michuano ya CAF confederation cup msimu huu, na ubingwa wa ligi tayari mkononi misimu miwili mfululizo na Azam Federation wanaitetea, je viongozi wenu wa maana wamewafanyia nini? Kuahidi kuifunga Yanga? Au kumleta Manzoki kuwa ajenda ya kupsta kura?

Yanga wanachokitaka utaratibu ufuatwe ikiwa ni mchezaji kufika klabuni ili waongee kuhusu kuvunja mkataba je huyo Feisal wenu alifanya? Mkataba ulisainiwa na pande mbili, hivyo hata kuvunja lazima pande mbili zikae mezani zifikiane kuuvunja mkataba. Mbona ishu ni nyepesi tu ila kwasababu ya ujeuri wa huyo dogo na maneno mnayomjaza ndio inaifanya ishu iwe kubwa.

Endeleeni kujipoza na mikataba ila mkumbuke Yanga inscheza fainali ya michuano ya CAF
😀😀😀 Mbumbumbu ni rahisi sana kudanganywa kwasababu wangekuwa na akili wasingemshangilia Manzoki kuja kusimamia uchaguzi
 
Utopolo acheni unyama....
1683961993731.png
 
Huyu chalii kashapoteza dira kabisa
Alipewa kaz ya kumbikiri kafeli sana
 
Kuna gharama zipi wakati zinafanyika online gharama Bundle.

Ila upo vizuri yaani mpaka maamuzi ya CAS ushayajua yatakuwaje ,daaah umetisha kaka.

Ila yakiwa kinyume chake hamchelewi kusema Yanga kaiweka CAS mfukoni.
Nani alikuambia chenye gharama ni bundle?

Kasome gaharama zilizoorodheshwa na CAS wenyewe kabla hujaandika.

Halafu wapi nimesema maamuzi ya CAS nishayajua yatakuwaje?
 
Familia ya Soka ipo bega kwa bega na Feisal wakati huu akipambana na wakoloni wake.
 
WATANZANIA NAOMBA MNICHANGIE - FEISAL

Kupitia mtandao wa instagram mchezaji wa Yanga Feisal Salum amepost akiomba wapenda soka Nchini kumchangia ili apate fedha zakufungua kesi Mahakama ya kimichezo CAS dhidi ya klabu yake ya Yanga

Kiasi kinachohitajika ni zaiai ya milioni 55View attachment 2634537
akili hamna huyu bwa mdogo...
 
Yanga ni Taasisi ila wangeachana na hii ishu ya Faisal wamwambie aendelee na maisha yake amekosea ila sio kipindi cha kukomoana dogo alikosea na hajui kuwa kakosea waachane nae kuliko hizo mambo zinakokwenda...
Yanga wanaanzaje kumsamehe mchezaji ambaye haoneshi ushirikiano, na badala yake amechagua kuwa kiburi na mkaidi!!

Imagine mkataba kaingia na Yanga, lakini yeye anataka TFF ndiyo waingilie kati kuuvunja, huku akiwa hana sababu za msingi!
 
Akitokea FIFA wamemlima faini tutaendeleza mchango. Zile milioni 100 alizoweka kwenye akaunt ya Yanga baadae YANGA walimrudishia kashazimaliza?
Shangaz ndo alikua anazitumia
Kuzunguka na mafiles pale karume
 
Mbona rais anasema anakuingizia pesa wewe hutaki unarudisha unamwambia umetosheka Sasa mbona waja kuomba huku Tena? Okay sawa achana na hiyo weka benk A/C tukuchangie chap chap
nani anataka mshahara wa kimtego?. sawasawa tu anavyourudisha.
 
Baada ya Club ya Yanga kumuandikia barua ya wito Feisal Salum iliyoambatana na mashtaka dhidi yake mchezaji huyo amejitokeza, na kueleza wazi kuwa atapeleka kesi yake CAS kwani amenyimwa haki yake ya kuvunja mkataba na TFF!
Ameomba achangiwe na wote wenye mapenzi mema ili aweze kupata fedha kwa ajili ya kufungua kesi, mawakili wake watafanya kazi bure!
Kwa yeyote mwenye chochote anaweza kumsaidia kupitia Lipa namba 5406394 Feisal Salum.

Haya sasa huu mtanange nani mshindi huko CAS…!? Yetu macho cha msingi tumpe dogo mpunga!
Hiyo Hela ya kumchangia Haina kazi labda.[emoji15]

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom