Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaKuna wengi wenye uhitaji wa kusaidiwa Ila sio kwa upuuzi huu...ni Bora kusaidia wagonjwa kuliko hiki kiburi, yani kimeshindwa kusema samahani wakamaliza Mambo kinataka kuchangiwa? Upuuzi mtupu na sijui anajiona nani
Hiyo 55m umeipata pata je?WATANZANIA NAOMBA MNICHANGIE - FEISAL
Kupitia mtandao wa instagram mchezaji wa Yanga Feisal Salum amepost akiomba wapenda soka Nchini kumchangia ili apate fedha zakufungua kesi Mahakama ya kimichezo CAS dhidi ya klabu yake ya Yanga
Kiasi kinachohitajika ni zaiai ya milioni 55View attachment 2634537
Ameifunga akaunti yake ili Yanga wasimuwekee mshahara wake.Huu ni utapeli. Hana mshahara? Hana endorsements?
Nccf? Kweli?Afate taratibu, alisaini mkataba, kuvunja Kuna masharti, mi mwenyewe Kuna kazi nilivunja mkataba naogopa hata kudai sent nccf lazima utaambiwa uende kazini kwako kwa zamani upewe barua na hawawezi kunipa , malizia mkataba wako kwanza, Najua nimeharibu mwenyewe, najua nikienda timbwili lake na hivi hawakutaka niondoke, [emoji17]
Halafu wapi nimesema maamuzi ya CAS nishayajua yatakuwaje?Nani alikuambia chenye gharama ni bundle?
Kasome gaharama zilizoorodheshwa na CAS wenyewe kabla hujaandika.
Halafu wapi nimesema maamuzi ya CAS nishayajua yatakuwaje?
Kila upande unaoshiriki case unatakiwa kutoa $20KHalafu wapi nimesema maamuzi ya CAS nishayajua yatakuwaje?
Hapo nili interpret vibaya ulicho kiandika sorry.
Ila nijuavyo CAS gharama zao hazivuki mil 60,kama kuna gharama nyingine labda za bundle nyingine za wanasheria wanao msimamia na kama sikosei kesi husikilizwa mara moja tu then maamuzi .
Zile mil 4 zake alizo zisusa aende yanga wamuongezee.
Unaonekana unauchungu sanaMshahara upi? Mnawajua Yanga nyie? Mchezaji haondoki Yanga hadi kwa kesi na malumbano viongozi wa hii timu ni wa hovyo Sana halafu wanarithishana hii tabia ya hovyo ya kung'ang'ania wachezaji, mchezaji kachoka/kavunja mkataba awalipe kwa kukiuka mkataba aende zake sio kujidhalilisha namna hii, Mimi nilijua wamepata Engineer labda ataleta mabadiliko kumbe walewale Tena anasema anapeleka mshahara unarudi [emoji44][emoji44] wamwache aondoke
Achana navyoSingano,Yondani waliondokaje Simba au ndiyo nyie vitoto vya 2005?
Kama huwez mchangia kausha mkuuHuu ni utapeli. Hana mshahara? Hana endorsements?
Shoga nani pale?Tatizo la kusajili mashoga Yanga linatugharimu