Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Yanga alikuwa na jopo la mawakili ila gharama ya CAS hazidi 50m.
 
Yanga alikuwa na jopo la mawakili ila gharama ya CAS hazidi 50m.
Gharama haikwenda kulipa jopo la mawakili

Gharama zilizokuwa zinazungumziwa zilikuwa zimelenga kufungua jalada CAS
 
NCCF ndio nini kilaza wewe?
 
Ila wewe unaewachangia CCM kupitia tozo za mihamala isiyojulikana inaenda kufanyia shughuli gani una akili timamu?

Sisupport kampeni ya Feisal ila haimaanishi watamuunga mkono hawana akili, kila mtu ana sababu zake.
 
Mimi nachokielewa hapo ni kwamba inatengenezwa backup ili siku ikifika muda wa kuanza kuulizana pesa ya kwenda CAS umeipata wapi tayari awe na hoja kupitia post hii.

Ila naamini kabisa kuwa Feisali hategemei pesa za michango ili aende CAS
Una akili sana bwana Scars na mm nilikuwa nataka niandike hivyoo..kweli wana Simba ni vichwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…