Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Hii ni moja ya changamoto yangu labda wewe ndo ufocus na maisha yako.

Hako kajamaa kanaitwa Faisal ni kajinga, katoto, na kana kiburi, kalionyesha wakati kanatoka Yanga, ujinga is what is expected of Him....
 
Badala ya kufurahia kombe mnacheza ngoma ya Fei.
 
Wasabato hii siku hawataisahau kamwe.Imagine umeuza kila kitu na kuaga watu wote wa duniani kwamba unaenda Mbinguni na Bwana Yesu, halafu hola.
Hivi walijichanganyaje...maana biblia inasema hakuna aijuaye siku wala saa!
 
Hichi kitendo angekifanya mchezaji yoyote wa Yanga,yule Kazumari angetoa gazeti refu,lakutaka mchezaji apewe adhabu na TFF.

Jana wao walijiandaa na penati hawakuja kucheza mpira,ndio maana walikiwa wanajiangusha na kupoteza mda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…