Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yanga inamuuma huyo dogo. Na huko atakaa hivyo hivyo makombe na amsha hamna.
Asante jirani yake....Kila siku mnamuandama kama mume mwenza wenu, alivyondoka majini fc mkasema anapotea, hadi saiv hatujaona kama aliomba msaada kwenu kwamba amepotea aelekezwe njia, hajachukua golden boot, .ndio anaenda kupotea, hadi saivi hajaitisha press kuomba kuelekezwa njia sababu amepotea, leo tena hajachukua medali, ndio sjui mnasema ndio anazidi kupotea , tusubirie press conference aseme kama amepotea.
Mkimove on na yeye atamove on, Jana kawaambia shish, acheni kelele.Analeta maringo watu tunanyanyua kombe
Yanga ni taasisi. Bila yeye mafanikio bado yameendelea kuwepoMkimove on na yeye atamove on, Jana kawaambia shish, acheni kelele.
Akili zenu zimejaa mavi. Kwamba mtu asipovaa medali anaharibu mpira wake..hio medali ina nguvu za giza nini kwamba ukiivaa hio ndio utakua staa duniani.[emoji706][emoji706][emoji706] Achaneni kufatilia maisha ya watu. Au mnakaa uswaz nini , mwanaume kufatilia maisha ya mtu hivi ni kwanza umaskini, pili ni tabia ya kukaa uswahili kwenye vibaraza na wadada mnasutana na kufatilia anayeingia na kutoka.Anajiua kisoka..!!!
Wewe mwemye akili nyingi, zimekupeleka wapi namini hata huna maisha wewe , kapuku, huyo asie na akili anakulisha wewe na liukoo lako lote la kimaskini. [emoji706]Mnashangaa nini wakati mtu mwenyewe hana kichogo unategemea mtu wa aina hiyo atakuwa na akili?
Fei anawauma hilo ndo tatizo.Yanga ni taasisi. Bila yeye mafanikio bado yameendelea kuwepo
Mbona kama una makasiriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.Akili zenu zimejaa mavi. Kwamba mtu asipovaa medali anaharibu mpira wake..hio medali ina nguvu za giza nini kwamba ukiivaa hio ndio utakua staa duniani.[emoji706][emoji706][emoji706] Achaneni kufatilia maisha ya watu. Au mnakaa uswaz nini , mwanaume kufatilia maisha ya mtu hivi ni kwanza umaskini, pili ni tabia ya kukaa uswahili kwenye vibaraza na wadada mnasutana na kufatilia anayeingia na kutoka.
Akili kisoda. Niletee sheria hapa za TFF kwenye kipengele cha kuvalishwa medali kwenye mechi za fainali. Fanya haraka tena.Mbona kama una makasriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.
Ataita press aje aseme huko Azam analishwa ICE CREAM za moto..!!Kila siku mnamuandama kama mume mwenza wenu, alivyondoka majini fc mkasema anapotea, hadi saiv hatujaona kama aliomba msaada kwenu kwamba amepotea aelekezwe njia, hajachukua golden boot, .ndio anaenda kupotea, hadi saivi hajaitisha press kuomba kuelekezwa njia sababu amepotea, leo tena hajachukua medali, ndio sjui mnasema ndio anazidi kupotea , tusubirie press conference aseme kama amepotea.
Mwenzie KIBU siku anawafunga Yanga lile goli lake moja kwa mechi zote alizocheza msimu huu kwenye NBC ligi, kile kidole alichowaonyesha Yanga walimlima faini..!!! We subiri uone kile kitendo cha kususia uvaaji wa medali kama watamuacha..!!Akili kisoda. Niletee sheria hapa za TFF kwenye kipengele cha kuvalishwa medali kwenye mechi za fainali. Fanya haraka tena.
Hahaha, baadhi ya mashabiki wa Yanga furaha yao itakamilika pale tu Fei atakapopotea kisoka. Yaani haifichiki hata wajitahidi vipi unakaona kachuki kaleee.Mbona kama una makasriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.
Hii aione AigleAkija kocha anayezingatia nidhamu akaachwa timu ya Taifa msianze kulalama.
Hata hivyo TFF lazima imuadhibu hana adabu mtumbatu huyu.
Baada ya hapo akasusa..!!Mkimove on na yeye atamove on, Jana kawaambia shish, acheni kelele.
Move on Topolo.Baada ya hapo akasusa..!!
Sawa nguruwe FCMove on Topolo.