Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Fei oyeeSawa nguruwe FC
Ndo mlichobaki nacho Nguruwe FC. Wakati wa mechi za mwisho za ligi ya NBC, mlitamani sana FEI afunge ili apate kiatu, lakini wakati huo huo mlitaka kwa magoli hayo ya FEI pointi zisiwe za Azam FC.Fei oyee
Aah wapi, Wanaopambana na Fei ni vyura wachache wasio na akili na binadamu wenye roho mbaya, wanajificha tu kwenye jina la timu Yanga.Ndo mlichobaki nacho Nguruwe FC. Wakati wa mnechi za mwisho za ligi ya NBC, mlitamani sana FEI afunge ili apate kiatu, lakini wakati huo huo mlitaka pointi zisiwe zaAzam FC.
Utoto kama aliokuwa nao Vinicius wa Real Madrid, anapaswa acheze mpira badala ya kucheza na Mashabiki.Walikuwa wanamzomea, alipopata ndo akawambiia shush, Mm bado ni Fei Toto.
As long as kiwango chake kipo vizuri ndo nakshi nakshi za soka hizo.Utoto
Utoto kama aliokuwa nao Vinicius wa Real Madrid, anapaswa acheze mpira badala ya kucheza na Mashabiki.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hivi mtu anayesema Eng Hersi aondoke yeye ndio arudi Yanga huyo ana akili timamu?Aah wapi, Wanaopambana na Fei ni vyura wachache wasio na akili na binadamu wenye roho mbaya, wanajificha tu kwenye jina la timu Yanga.
Furaha yao itakamilika wakimuona Fei kapotea na mpaka sasa inafurahisha kumuona Fei bado yupo kwenye kiwango.
Miller aliwapigia hesabu kali zinazoonyesha siku ya kuja kwa Yesu.Hivi walijichanganyaje...maana biblia inasema hakuna aijuaye siku wala saa!
Kwenye maswala ya mpira huwezi kuwapa ishara mbovu/kejeli washabiki wakuache.Fei anawauma hilo ndo tatizo.
Anazo. Ilikuwa ni kunyesha kuwa hataki kurudi Yanga.Hivi mtu anayesema Eng Hersi aondoke yeye ndio arudi Yanga huyo ana akili timamu?
Wao ndo walianza kumzomea Fei.Kwenye maswala ya mpira huwezi kuwapa ishara mbovu/kejeli washabiki wakuache.
Muulize Adebayor tabu alizokuwa alizokuwa akipata kila akija Emirates Arsenal baada ya kuwa kejeli Arsenal,alipo funga Etihad. Juzi tu hapo aliona hata aibu kusalimiana na Wenger kwenye fainal ya CAF (Ivory Coast vs Nigeria),mwenzake Kanu kaenda kwa kujiachia kapiga story na kocha wake vizuri tu. Kanu alivyo ondoka Arsenal kila akija kucheza anapewa heshima yake na mashabiki wa Arsenal.
Nasri nae aliongea shit alivyo enda Man City nae ilikuwa kila akikutana na Arsenal lazima azomewe na mashabiki wa Arsenal.
Lazima azomewe sababu za kejeli zake za kipindi kile cha kujiona mkubwa kuliko taasisi na kumponda kiongozi wa club.Wao ndo walianza kumzomea Fei.
Uzuri inampa motisha zaidi. Anafanya vizuri sana uwanjani. Fei ni mwamba.Lazima azomewe sababu za kejeli zake za kipindi kile cha kujiona mkubwa kuliko taasisi na kumponda kiongozi wa club.
Nasri na Adebayor waliachwa kuzomewa baada ya kuondoka EPL,ila kila walipokuwa wakikutana na Arsenal lazima wazomewe.
Hilo atajua mwenyewe,ila kuzomewa atazomewa sana kila atakapo kutana na Yanga.Uzuri inampa motisha zaidi. Anafanya vizuri sana uwanjani. Fei ni mwamba.
PointlessNikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa Azam na gongo lake anavishwa medali.
Lakini Kwa namna nisiyotarajia mdogo wangu Feisal sikumuona. Labda kama atakuja na sababu isoyotia Shaka iliyosababisha asiwepo.
Kama Hana sababu zaidi ya makusudi na siasa za usajili basi amevuka mipaka ya ustaarabu wa soka.
Feisal ni mchezaji mzuri lakini Kwa mwenendo huu hapana, utapotea mdogo wetu.
Ugua poleMm nahuzunika. Zamu ya vyura tena.