Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Swala ni singida united waliridhia aende yanga ni tofauti na uhun wanaotaka kufanya azam tatizo lako ujinga unakusumbuaYanga walipewa tu huyu mchezaji kama rambirambi hawajamnunua hata kwa thumni ,kumbuka hilo kwanzaView attachment 2465227