Feisal penalty/fidia ya kutokutumikia mkataba inamsubiria

Mwacheni anatamba kwa hela za Yusuph na ndio maana wanasheria wanakomaa na hili sekeseke sababu wanajua hela ipo.
 
Halazimishwi kubaki bali mkataba alio usaini mwenyewe ndio unaomtaka kubaki.
 
Akienda lazima ashinde, kikwazo hapo ni pesa tu.

Kwasababu Yanga hawawezi kutoa gharama za kuendeshea kesi hivyo Feisali itamlazimu kuwalipia.

Na ndiyo option ambayo TFF na Yanga wameiona Feisali ana udhaifu nayo
Unazani Fei anatumia pesa zake ? Hii issues mastermind ni Yusuph kama wangekuwa watu wakwenda CAS wangeenda zamani ushajiuliza kwa nini wanakomaa na TFF.
 
Kwanza mi sio genius na sitaki mnione kwa jicho hilo kwasababu nitashindwa kuongea mengi ambayo nayaona ni ya kweli kwasababu ya kufikiria kuna watu wanaoniona genius hivyo nibaki kuongea yale wanayotaka kuyasikia.

Mtu ambaye amevunja mkataba illegal sheria inasema kuna adhabu ya faini na kifungo na wakati huo mkataba lazima utakuwa umevunjika, sasa why mnakiri alivunja sheria lakini hamjamuwajibisha?
 
Kama mwambie feisal ameshavunja mkataba tayari atafute timu ameshaachana na yanga tayari
Asipoteze mda wake kwenda TFF hana mkataba na Yanga
 
Ndio 100% jana Fei na mawakili wake walikuwa wakitaka idhini ya kuvunja mkataba kwasababu, kwa TZ ili mkataba uvunjwe lazima chombo husika kihusishwe, sasa majibu waliyopewa leo haya lingani na lile ombi lao
Umeona wapi wakili anayetaka mteja wake ashindwe? Wakili yupo kumtetea mteja wake na kuutetea ugali wake.
 
Kuna mda nasoma comments zako nacheka tu, ni kwamba huna akili au unajifyatua? Kwamba jaribio la kuvunja mkataba ni sawa na tayari usha vunja mkataba? sasa anatafta nini hapo TFF wakati asha vunja mkataba kwa maelezo yako? ulisoma wapi wewe mbumbumbu?
 
Wewe nae ni mpuuzi mmoja tu... Hiyo hoja akiyoioeleka imekiuwka ndani ya mkataba wake, yaani atangeneza hoja za kipuuzi afu taasisi kama Tff waingie chaka!!. Watu mmekuwa wajinga na matahira kupitiliza kisa chuki za kishabiki mnataka tff afanye upuuzi wenu?. Puuzi waheed kabisa.....
 
Akienda lazima ashinde, kikwazo hapo ni pesa tu.

Kwasababu Yanga hawawezi kutoa gharama za kuendeshea kesi hivyo Feisali itamlazimu kuwalipia.

Na ndiyo option ambayo TFF na Yanga wameiona Feisali ana udhaifu nayo
Nyie mnaona anaweza kushinda kesi Kwanini msimchangie Kama mna mapenzi nae? Au ndio ukasuku wakipuuzi tu...., Changishaneni mmpe pesa aende CAS.
 
Akienda lazima ashinde, kikwazo hapo ni pesa tu.

Kwasababu Yanga hawawezi kutoa gharama za kuendeshea kesi hivyo Feisali itamlazimu kuwalipia.

Na ndiyo option ambayo TFF na Yanga wameiona Feisali ana udhaifu nayo

Feisal alilipa 112m na akapanda pipa kwenda Dubai kufanya mazoezi na personal trainer ,Leo imekuwaje hana hela ya kwenda CAS?

Unafikiri kwa nini wanasheria wake wa kwanza waligoma kwenda CAS na hawa kina Fatma hawataki kwenda CAS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…