Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

Nyinyi utopolo mbona ndo vinara wa uvunjifu wa kanuni za soka hapa nchini na mnafumbiwa macho?
Hili jambo viongozi wa utopolo wangetumia busara tu wakamuachia dogo akaenda na sio kufanya mambo kwa ajili kumkomoa ili wamuharibie kijana mdogo kama huyo , maana hata utopolo imekuwa ikivunja kanuni za soka lakini wamekuwa TFF imekuwa ikitumia busara na kuwastiri.

Kwani hiyo roho ya kichawi mmemfanyia feisal peke yake ,nyinyi wachawi simlisha haribu dili la ngasa kwenda Sudani ambalo linge mpatia pesa kibao ambazo zinge badilisha maisha yake?

Utopolo ni kikundi cha wachawi Mungu atasimama na fei mwisho atakishinda kikundi hichi kiovu cha kichawi na kilicho jaa fikra za kimasikini.
Were ni mchawi maana hill neno limekukaa au labda huna elimu maana kwa MTU aliyeenda shule kwa alilotenda fei ni kosa kubwa na alipaswa akemewe na atafute njia sahihi ya kuondoka
 
Tusumsaha na msemaji manara kwamba pale jangwani wenyeakili wawili tuu baba yake na kikwete kwamba hata yeye aliekwenda yanga hana akili
 
Nyinyi utopolo mbona ndo vinara wa uvunjifu wa kanuni za soka hapa nchini na mnafumbiwa macho?
Hili jambo viongozi wa utopolo wangetumia busara tu wakamuachia dogo akaenda na sio kufanya mambo kwa ajili kumkomoa ili wamuharibie kijana mdogo kama huyo , maana hata utopolo imekuwa ikivunja kanuni za soka lakini wamekuwa TFF imekuwa ikitumia busara na kuwastiri.

Kwani hiyo roho ya kichawi mmemfanyia feisal peke yake ,nyinyi wachawi simlisha haribu dili la ngasa kwenda Sudani ambalo linge mpatia pesa kibao ambazo zinge badilisha maisha yake?

Utopolo ni kikundi cha wachawi Mungu atasimama na fei mwisho atakishinda kikundi hichi kiovu cha kichawi na kilicho jaa fikra za kimasikini.
Ndugu uwezo wako wa kupambanua mambo upo chini sana. Yanga wameingia gharama kubwa sana kumfikisha Fei hapo alipo, haiwezekani aondoke kihunihuni tu.
Kama kapata malisho bora awaambie hao wanaomtaka wakakae mezani na Yanga, nina imani utaratibu ukifuatwa ataondoka kirahisi tu maana yeye siyo tegemeo la Yanga kama alivyokuwa Msuva aliyeuzwa
 
Fei hana mpango wa kuichezea tena Yanga na wala hajasema kuna timu inamtaka nashangaa Yanga wamekomaa kuwa hiyo timu inayomtaka ije mezani what if kama Fei anataka kuvunja mkataba ili aachane na masuala ya soka afanye mambo mengine sasa unapomshinikiza alete timu na wakati Yeye mchezaji yupo tayari kuuvunja kwa kuununua mkataba wake why msimpe hizo gharama za kuvunja mkataba awe free kijana wa watu kufanya anachopenda
Angechagua njia ya kuununua mkataba sidhani kama kungekuwa na vikwazo, tatizo limekuja baada ya kutaka kuvunja mkataba. Kuvunja mkataba siyo jambo rahisi kama mnavyolichukulia, kuna vigezo na masharti ambavyo lazima vifuatwe
 
Back
Top Bottom