THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Anza kupitia Art. 14 mkuu nimekuwekea na reference case.Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.
Article 17 inaeleza kuhusu kuvunja mkataba bila kuwa na sababu (without just cause)
A contract between a player and a club may therefore only be terminated on expiry of the contract or by mutual agreement. Unilateral termination of a contract without just cause, especially during the so-called protected period, is to be vehemently discouraged.Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.
Article 17 inaeleza kuhusu kuvunja mkataba bila kuwa na sababu (without just cause)
Webster – Heart of Midlothian:Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.
Article 17 inaeleza kuhusu kuvunja mkataba bila kuwa na sababu (without just cause)
Umbea tu !! unaandika vitu hata hujui unakuwa maskani na limbukeni kwa kuwa shabiki maandazi.We olewa tu banah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna unachojua
Fatilia hapo walipoandikaMkuu kuna hii case usome:
The principle was first used in FC Pyunik Yerevan v. E., AFC Rapid Bucaresti and FIFA.
Feisal alikuwa na Just cause ipi ya kuvunja mkataba ?
Huna unalolijua mama tafuta mume....[emoji24][emoji1787][emoji1787]Umbea tu !! unaandika vitu hata hujui unakuwa maskani na limbukeni kwa kuwa shabiki maandazi.
Pigo za kike mjinga kabisa[emoji28][emoji28]
Mkuu nimejaribu kuweka hivyo ili kupunguza mihemko ya maamuzi.Fatilia hapo walipoandika
"Unilateral termination of the contract without just cause during the Protected Period"
Unilateral termination of contract without just cause ndio kipengele alichokitumia FeisaliA contract between a player and a club may therefore only be terminated on expiry of the contract or by mutual agreement. Unilateral termination of a contract without just cause, especially during the so-called protected period, is to be vehemently discouraged.
Umeona hicho kipengele happ kipo namba 3 kabisa kwenye list ya utangulizi?Mkuu
Mkuu nimejaribu kuweka hivyo ili kupunguza mihemko ya maamuzi.
Jibu swali langu usifanye mambo yawe mengi ombi la kuongezewa mshahara ni lazima likubaliwe?si hamtaki na yeye kaona asitishe huduma !
Simba imeachia wachezaji wangapi wakafuate maslahi zaidi...Wengi wenu wachawi hamjijui tu.
Umeweka vema mkuuUmeona hicho kipengele happ kipo namba 3 kabisa kwenye list ya utangulizi?
Sasa fatilia hapo wameelezea hadi mchanganuo wa adhabu ambayo mchezaji aliyevunja mkataba bila sababu (without just cause)
Huku wakitaja moja ya adhabu ni kufungiwa mchezaji kwa muda fulani (baadhi ya vyanzo vimetoa mchanganuo wa adhabu hii kuwa maximum ni 4 months)
Pamoja na faini kulingana na sheria za nchi husika
kama jaribio la kuvunja mkataba ni sawa amevunja mkataba anatafta nini hapo TFF si aende anakotaka kwenda yupo huruUnilateral termination of contract without just cause ndio kipengele alichokitumia Feisali
Na mind you sheria inasema jaribio lolote la kuvunja mkataba litalofanyika, mchezaji hawezi kuendelea kuwa mwajiriwa wa Club hiyo ambayo mkataba wake wa kimahusiano umevunjika katika mazingira ya aina yeyote (with cause & without just cause)
Ndio hicho ambacho mimi nimekuwa nikikisema humu. Mkataba umevunjika kwa njia ambayo sio ya kiutaratibu kivipi maamuzi yatolewe kuwa aendelee kusalia kwenye hiyo Club badala ya kumuadhibu kisha aondoke?Scars
Yaani leo ndiyo nimepita hizo kanuni na sheria yaani DRC na CAS na hiyo case niliyo cite pamoja na reference case ya Webster.
Mambo ya mitandao huwa sipitii ila umeweka vema ungeweza kumshauri mkuu kuliko hizo porojo mwisho wa siku maamuzi ya CAS itakuwa ni yeye kuwalipa lakini si kurudi.
If the player cancels the contract illegally, the player must compensate the club for the damage. The amount of the damage can even be considerable, if the club has paid, for example, agent fees or similar fees for the player.kama jaribio la kuvunja mkataba ni sawa amevunja mkataba anatafta nini hapo TFF si aende anakotaka kwenda yupo huru
Na kupitia yeye watu wanakngezwa mshahara kimyakimya bdo atabaki shujaa kwa wengneFeisal anatafuta haki yake si ya wachezaji wazawa kwani yeye ameamua kuwa mwana harakati badala ya kucheza mpira.
Kafikia hatua ya kutafuta hela za huruma.
KivipiYanga na Simba zinatumiwa na CCM hivyo sina la zaidi Kwa kijana Feisal
Shida ya kusoma a,e,I,o,uKanuni zipi maana hata mkataba hajawahi kuoana unapiga kelele[emoji23][emoji23].
Nyie mnataka kumkoa hamna la maana eti Yule Azizi k apewa mil 26 then Dogo apewa 4 mna akili kweli?
Ulivyokuwa kilaza unashabikia huku Aziz k kwa kazi anayofanya pale Yanga?
😅😅Yeye mkataba anaujua kuliko wapiga dogo mitandaoni.Shida ya kusoma a,e,I,o,u