AMESHASEMA YULE MSHAURI WAKE. Kule anaenda huenda akaambiwa alipe faini aondoke tofauti na adhabu anayopewa na Hersi na kama akishindwa basi atabaki mtaani riski ni mpango wa MUNGU.Kama taasisi inakupa stahiki zako kwa wakati na hakuna kipengele wamevunja huko CAS utaenda kusema haupendani na boss?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mbna kulikua na fukuto chimboo si ndo takadini akataka mashavu mbonyeo atoke pale salamander tower kisa shabiki wa lunyasi, dimpoz akamuambia utatokaa wee mie nipoo sanaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...Hebu tulia kwanza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa....
Akili nyingi..
Hainaga ushemeji itakua hapoo. Na inawezekanaaa.Hersi nae itakuwa alitaka kumla Fei toto.Ali Kamwe na Priva wanaliwa kweli na wanaonekana kabisa.GSM anakula dimpoz pia. Sema basi atakuwa anapokezana na Joho 001.
unajielewa kweli wewe? wanatoaje adhabu kwa mtu aliekata rufaa?Hilo lazima. Yanga na TFF nawadharau sana ambapo wanadai kuwa fei bado ana mkataba nao lakini hawamchukuliii hatua yoyote richa ya utoro wa takribani miezi sita bila sababu za msingi.
TFF na Yanga ni very unprofessional kijana ilitakiwa apewe adhabu kali.
Kwahiyooooo?? Ndo alazimishwee kuinamishwa na mtu hana hisia nae? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wenu amjuhi tu ila Feisal alishaLEFT GRUPU letu siku nyingi!
Wewe kama huna machoo yakutazama basi tukusaidieje , siunde you tube ukasikilize mahojiano yake na mtangazaji kama hdi hapo Huna akili hiyo tukisaidiajeZitume humu voice note ambazo mama Fei alidhalilishwa mkuu
Rufaa zote zimeisha. Na yanga ndio ilkua ya kwanza kupeleka shauri.unajielewa kweli wewe? wanatoaje adhabu kwa mtu aliekata rufaa?
Yanga wanajua huko CAS hatoboi ndio maana wana muacha azurule akili zake ni kwamba atapigwa fine na adhabu baadae awe huru wenzake wamewaza mbaliRufaa zote zimeisha. Na yanga ndio ilkua ya kwanza kupeleka shauri.
Hao ndio tunawaita maagent wa shetani na tunawafungulia Uzi soon nikiwa free manaa nataka niwachambee haswaaExact Kuna wanaume humo Hawajui thamani za mama zao Ndo maaana sijui na Ndo wake zao wanawashika masikio kutukana mama zao wanaona kawaidaa TU
Na ndo wanaita mama zao wachawi hawa
Wake zao hua wanaishi kwa tabu sana, maana hujiona kama hawana nafasi na kauli kama mke.Hata kwenye ndoa hua inakua mshike mshike
CAS lazma atoboe hakuna mkataba usiovunjwa either kimakosa au kwa usahihi,suala ni nani mwenye makosa na atapewa adhabu kati ya yanga na fei.Yanga wanajua huko CAS hatoboi ndio maana wana muacha azurule akili zake ni kwamba atapigwa fine na adhabu baadae awe huru wenzake wamewaza mbali
Shabiki wa Yanga hawezi amini anayoongea Fei kwa mwenye akili anajua huyu mtoto anaongea nini,Muongo huyo anatunga maneno then hayana mashiko, alale mbele.
Tusi NI neno ambalo litamkera mtu, Kama Hersi alijibu neno la hovyo yeye akidhani ni jepesi basi limemkera mama na mtoto. Na Kama hakutukana kwa nini Fei anasema Eng. alimuomba msamaha? Kuwa wa mwisho ni hiari ya mtu mkuu.Yani Hersi atume watu wamtukane Feisail na Mama?!
Nitakua wa mwisho kuamini hii. Kuhusu mkataba naweza kuamini, Bongo magumashi mengi.
Tusubiri upande wa pili kama wataona inafaa kujibu.
Timu ni unbeaten....imeshinda mechi 49 mpaka yy yupo ..Hilo neno la kuuza mechi linapatikana ktk mazingira gani...!!?Hizo pointi unazichukulia poa? Hapo maana yake hakuna mazingira Bora ktk utekelezaji wa mkataba husika Mtu Hana elimu ya kutosha, ulitegemea aongee vipi