Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Mimi najiuliza,huyu Hersi si ni mwajiriwa wa GSM? Kama yeye ni mwajiriwa huo mkataba wake wa ajira angekuwa anafanyiwa haya mazonge angeweza kudumu hapo GSM.Tunasahau point ya msing ya Fei kuwa anacholilia ni hatma ya maisha yake na watu wanatanguliza ushabiki na upenzi wao wa Team.

Fei ana hoja asikilizwe.
 
Ni kweli ana hoja kamsikilize
 
Wewe kama huna machoo yakutazama basi tukusaidieje , siunde you tube ukasikilize mahojiano yake na mtangazaji kama hdi hapo Huna akili hiyo tukisaidiaje
Kama hili jukwaa ndio tunajibiwa hivi, si Bora mleta mada asingeitoa badala yake angesema tukatafute taarifa za Feisal popote tutakapozipata. Wewe kama unazo nitumie
 
Binadamu sisi huwa tuna matatizo.
 
Msikilize vizuri hapo mwenyewe
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi kwa akili yako unaamini kabisa kwamba hakujua ni mkataba wa miaka mingapi?! Kama hakufahamu, ni lini aligundua kwamba mkataba wake umechomekewa miaka 3 badala ya 2? Baada ya kufahamu, kwanini hakwenda kulalamika popote hususani kwenye Kamati inayoshughulikia haki za Wachezaji? Na kama anayosema ni kweli aliya-experience, how come tena akawa anafundishwa cha kuongea?!

Kwa upande mwingine, Feisal anaonesha Kansa pale Yanga ni Engineer Hersi. Sasa inakuwaje tena tatizo lake anaenda kukutana na huyo huyo Hersi tena nje ya Ofisi za Klabu? Kwanini hakwenda Klabuni kukutana na viongozi wengine wa Yanga badala ya kwenda kukutana na mbaya wake ambae alikaa nae kwa SAA SITA?! Yaani face to face conversation kati ya mahasimu wawili inadumu kwa SAA 6?
 
Hizo tetesi za hersi alitaka kumuafande dogo nahisi inabidi zifuatiliwe. Maana manyanyaso hayaeleweki. Ila hapo kwenye kumuafande dogo ni bora dogo kakataa. Eti cocastic hizo tetesi ni kweli, kuwa feitoto walitaka kumuafande ila akakaza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] prezoo hashindwii yulee huenda kwa Takadini alichokaaa, alitaka kujaribu ladha ingine kwa mzenjiiiiiiii. Woiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…