Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ila aliyomfanyia sio haya dogo anayoongea hapo, ni mengine kabisa.Mbele ya camera anajifanya mstaarabu na kumbe nyuma ya pazia anamnyanyasa sana kijana na inaelekea ndiyo chanzo cha Fei kugoma kabisa kurudi Yanga.Ile roho ya kikatili ya Kisomali iko damuni kwake.
Kwani kuna ajabu gani,siku zote mwanzo wa mapatano ni pale mahasimu wawili wanapokutana na kuzungumza tofauti zao.Feisal aliamini wanaenda kuzungumzia tofauti zao na pia kusikilizwa matakwa yake na si vinginevyoHivi kwa akili yako unaamini kabisa kwamba hakujua ni mkataba wa miaka mingapi?! Kama hakufahamu, ni lini aligundua kwamba mkataba wake umechomekewa miaka 3 badala ya 2? Baada ya kufahamu, kwanini hakwenda kulalamika popote hususani kwenye Kamati inayoshughulikia haki za Wachezaji? Na kama anayosema ni kweli aliya-experience, how come tena akawa anafundishwa cha kuongea?!
Kwa upande mwingine, Feisal anaonesha Kansa pale Yanga ni Engineer Hersi. Sasa inakuwaje tena tatizo lake anaenda kukutana na huyo huyo Hersi tena nje ya Ofisi za Klabu? Kwanini hakwenda Klabuni kukutana na viongozi wengine wa Yanga badala ya kwenda kukutana na mbaya wake ambae alikaa nae kwa SAA SITA?! Yaani face to face conversation kati ya mahasimu wawili inadumu kwa SAA 6?
injinia soma hiyooUkweli ni kuwa Rais alikuwa anataka kumnajisi kijana ndiyo maana anapata kigugumizi kutamka wazi lakini dogo ameondoka Yanga kulinda utu na marinda yake.
Amejua raisi hawezi kutoka ndiomaana anapambana atoke yeyeDogo angeendelea kusema tuu haitaki Yanga basi..ila hilo ya kutaka raisi wao aondoke yeye arudi anajikuta nani yeye?
Upo sahihi sana.Hapo atakuwa anajaribu kulinda heshima ya Rais wa Uto,ila akiamua kumwaga kila kitu hadharani pana watu watarudi Mogadishu bila kupenda kwa aibuIla aliyomfanyia sio haya dogo anayoongea hapo, ni mengine kabisa.
Sababu anazotoa kwa kujikanyaga hapo ni wazi anadanganya
Watanganyika wassenge sana ndio maana vilabu vinashindwa kwenye mashindano ya kimataifa na kombe la dunia kwa chuki na ubaguzi wa kipuuziChuki za kishamba hizi,
Huyu dogo Kuna watu wanampotosha kwa maslahi Yao BINAFSI[emoji3525]
Hizo script za kuelekezwa Cha kusema?Fei ana hoja,asikilizwe.
Walimuona anatoka Zanzibar ni ujinga wa kitanganyika tu na chuki binafsi kuuwa vipaji hasa kwa wazanzibari ambao kule bara wameshindwa kuvifikia sasa wanasajili kutoka burundi nkKua yeye hajui kusoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mogandishu tenaaaa?? WoiiiiiihUpo sahihi sana.Hapo atakuwa anajaribu kulinda heshima ya Rais wa Uto,ila akiamua kumwaga kila kitu hadharani pana watu watarudi Mogadishu bila kupenda kwa aibu
Mkuu hata wewe huwa unaelekezwa cha kuongea Mahakamani na wanasheria wako.Hizo script za kuelekezwa Cha kusema?
Masoud? Fetty? Siza?Kwahiyo mtu wa michezo hukumuona pale?
Fei kichaa kimemuanzaUshabiki bana. Fei ameshasema hana tatizo na Yanga ana tatizo na Hersi, ila bado unaiingiza Yanga. Au Hersi ndo Yanga? Mnasahau kuwa kunaweza kuwa na tabia binafsi za viongozi ambazo sio tabia za club. Hapa Hersi anatakiwa aulizwe una tatizo gani binafsi na Fei? Maana anasema ana shida na wewe sio Yanga.
Hahaha.Fei kichaa kimemuanza
Afande ni yule aliehongwa iPhone 14 pro max na kutukania mzee wetu mgunda na mama foseliHuyo mtoto ni afande
Hii Somali ngoja ilete janja janja yake, wapemba watadeal nae atajikuta katikati ya Mogadishu akacheze na Al shabaab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mogandishu tenaaaa?? Woiiiiiih
Ni kweli usemacho! Klobu za Kkoo janja janja sana. Refer issue ya RAMADHANI SINGANO na mkataba wake na SSC.Ni mara ngapi yanga imeshtakiwa na makocha na wachezaji Kwa kutofuata mkataba uliosainiwa? Unatanguliza ushabiki badala ya kutumia akili.
Samatta aliwahi kuwagomea Simba Kwa kutotekelza mkataba kama ulivyotaka. Klabu za kariakoo hasa Yanga sio ya kuiwekea dhamana.
Amesema tangu January alishazuia BANK kupokea Mshahara wa YNGSasa mbna Fei bado anabakizwaa tyuh na mshahara analipwa km kawaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
InawezekanaFei kichaa kimemuanza
Naelewa, ila nahoji kwann yanga bado wanataka kulipa mshahara na mtu hatumikii??Amesema tangu January alishazuia BANK kupokea Mshahara wa YNG