Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Mbele ya camera anajifanya mstaarabu na kumbe nyuma ya pazia anamnyanyasa sana kijana na inaelekea ndiyo chanzo cha Fei kugoma kabisa kurudi Yanga.Ile roho ya kikatili ya Kisomali iko damuni kwake.
Ila aliyomfanyia sio haya dogo anayoongea hapo, ni mengine kabisa.

Sababu anazotoa kwa kujikanyaga hapo ni wazi anadanganya
 
Hivi kwa akili yako unaamini kabisa kwamba hakujua ni mkataba wa miaka mingapi?! Kama hakufahamu, ni lini aligundua kwamba mkataba wake umechomekewa miaka 3 badala ya 2? Baada ya kufahamu, kwanini hakwenda kulalamika popote hususani kwenye Kamati inayoshughulikia haki za Wachezaji? Na kama anayosema ni kweli aliya-experience, how come tena akawa anafundishwa cha kuongea?!

Kwa upande mwingine, Feisal anaonesha Kansa pale Yanga ni Engineer Hersi. Sasa inakuwaje tena tatizo lake anaenda kukutana na huyo huyo Hersi tena nje ya Ofisi za Klabu? Kwanini hakwenda Klabuni kukutana na viongozi wengine wa Yanga badala ya kwenda kukutana na mbaya wake ambae alikaa nae kwa SAA SITA?! Yaani face to face conversation kati ya mahasimu wawili inadumu kwa SAA 6?
Kwani kuna ajabu gani,siku zote mwanzo wa mapatano ni pale mahasimu wawili wanapokutana na kuzungumza tofauti zao.Feisal aliamini wanaenda kuzungumzia tofauti zao na pia kusikilizwa matakwa yake na si vinginevyo
 
Ila aliyomfanyia sio haya dogo anayoongea hapo, ni mengine kabisa.

Sababu anazotoa kwa kujikanyaga hapo ni wazi anadanganya
Upo sahihi sana.Hapo atakuwa anajaribu kulinda heshima ya Rais wa Uto,ila akiamua kumwaga kila kitu hadharani pana watu watarudi Mogadishu bila kupenda kwa aibu
 
Chuki za kishamba hizi,
Huyu dogo Kuna watu wanampotosha kwa maslahi Yao BINAFSI[emoji3525]
Watanganyika wassenge sana ndio maana vilabu vinashindwa kwenye mashindano ya kimataifa na kombe la dunia kwa chuki na ubaguzi wa kipuuzi
 
Kua yeye hajui kusoma?
Walimuona anatoka Zanzibar ni ujinga wa kitanganyika tu na chuki binafsi kuuwa vipaji hasa kwa wazanzibari ambao kule bara wameshindwa kuvifikia sasa wanasajili kutoka burundi nk
 
Upo sahihi sana.Hapo atakuwa anajaribu kulinda heshima ya Rais wa Uto,ila akiamua kumwaga kila kitu hadharani pana watu watarudi Mogadishu bila kupenda kwa aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mogandishu tenaaaa?? Woiiiiiih
 
Ushabiki bana. Fei ameshasema hana tatizo na Yanga ana tatizo na Hersi, ila bado unaiingiza Yanga. Au Hersi ndo Yanga? Mnasahau kuwa kunaweza kuwa na tabia binafsi za viongozi ambazo sio tabia za club. Hapa Hersi anatakiwa aulizwe una tatizo gani binafsi na Fei? Maana anasema ana shida na wewe sio Yanga.
Fei kichaa kimemuanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mogandishu tenaaaa?? Woiiiiiih
Hii Somali ngoja ilete janja janja yake, wapemba watadeal nae atajikuta katikati ya Mogadishu akacheze na Al shabaab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mara ngapi yanga imeshtakiwa na makocha na wachezaji Kwa kutofuata mkataba uliosainiwa? Unatanguliza ushabiki badala ya kutumia akili.
Samatta aliwahi kuwagomea Simba Kwa kutotekelza mkataba kama ulivyotaka. Klabu za kariakoo hasa Yanga sio ya kuiwekea dhamana.
Ni kweli usemacho! Klobu za Kkoo janja janja sana. Refer issue ya RAMADHANI SINGANO na mkataba wake na SSC.

Leo akina Masoud wamemuuliza AMRI KIEMBA nn maoni yake ktk mahojiano haya ya FEISAL, akajibu kuwa anachosema FEISAL yeye anakielewa kwa undani sbb ameshafanyiwa hivo angali Mchezaji
 
Back
Top Bottom