Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ila aliyomfanyia sio haya dogo anayoongea hapo, ni mengine kabisa.Mbele ya camera anajifanya mstaarabu na kumbe nyuma ya pazia anamnyanyasa sana kijana na inaelekea ndiyo chanzo cha Fei kugoma kabisa kurudi Yanga.Ile roho ya kikatili ya Kisomali iko damuni kwake.
Sababu anazotoa kwa kujikanyaga hapo ni wazi anadanganya