Haya Sasa ndio madhira wanayokutana nayo wachezaji wa ndani, wengi wao shule imepita mbali. Wengi hutumia wapambe kama wanasheria, mpambe mwenyewe naye hakwenda shule. Inasikitisha sana mtu tunaye amini ni professional kuongea vitu kama hivi.Kwahiyo Hersi kamzunguka kijana ama??!!
Hizo pointi unazichukulia poa? Hapo maana yake hakuna mazingira Bora ktk utekelezaji wa mkataba husika Mtu Hana elimu ya kutosha, ulitegemea aongee vipiKama haya ndiyo mambo yanayopelekea aende CAS ili wavunje mkataba,ameula wa chuya.
1.Mama yangu ametukanwa
2.Viongozi waliniambia nimeuza mechi
3.Mama yangu anaitwa andazi.
Dogo ameulizwa ishu za kimkataba zilizofanya asitishe mkataba amebaki kujing'ata ng'ata tu.
ELIMU,ELIMU,ELIMU,ELIMU,ELIMU
Hakuna kipengele kilichopo kwenye mkataba kilichovunjwa,CAS wataangalia mkataba unasemaje na unatekelezwajeHizo pointi unazichukulia poa? Hapo maana yake hakuna mazingira Bora ktk utekelezaji wa mkataba husika Mtu Hana elimu ya kutosha, ulitegemea aongee vipi
Nimeongelea mazingira ya utekelezaji wa mkataba. Je mazingira yalikua favorable Kwa pande zote mbili.Hakuna kipengele kilichopo kwenye mkataba kilichovunjwa,CAS wataangalia mkataba unasemaje na unatekelezwaje
Amekiri hajui kingereza na alijisikia yupo salama hata mkataba hakuchukua. Aliamini walichozungumza ndicho kilichopo kwenye mkataba.Kua yeye hajui kusoma???
Kama mazingira hayakuwa favorable watamwambia harudi wakae chini na Yanga wavunje mkataba,hilo ndilo Yanga wanamtaka lakini yeye hataki.Nimeongelea mazingira ya utekelezaji wa mkataba. Je mazingira yalikua favorable Kwa pande zote mbili
Tunatolewa kwenye reli tuu🤣🤣🤣🤣🤣
Hili limefanya hata hayo mengine nisimuaminiNipo upande wake lakini hapo kwenye kutokujua mkataba unasemaje sababu ni wa kingeleza namlaumu. Kwanini asaini dili kubwa kama hii bila kuwa na mtalamu wa hata mambo
Hizo chuki unazo wewe mkuu, hayo ni maisha ya mchezaji hauwezi kunyanyaswa mahali pako pa kazi miaka yote na ukawa una vumilia wakati una options za kufanya kuwa salama na maslahi yako jamaa ali taka kuvunja mkataba kwa kufuata yale yaliyo andikwa kwenye mkataba. Enheee hizo chuki unazo zi sema wewe zina toka wapi?Chuki za kishamba hizi,
Huyu dogo Kuna watu wanampotosha kwa maslahi Yao BINAFSI[emoji3525]
Ndiyo ujinga wenyewe huo. Sheria haina jutokujuwa, angetafuta wanasheria kabla hajasaini mkataba."Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."
Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Ni WA kumpuuza tu acha acheze michenzani fcChuki za kishamba hizi,
Huyu dogo Kuna watu wanampotosha kwa maslahi Yao BINAFSI[emoji3525]