Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Yule lesbian alikua wapi asimtafsirie mkataba wake, anakuja kupiga kelele hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakuikimbia yanga kipindi cha njaa basi asikilizwe vizuri hata kama hajui kujieleza, kitu cha msingi hakuna maelewano maziluri kati ya raisi wa klabu na mchezaji, huku raisi akitoa lugha ambazo ni za kibaguzi kitu ambacho pia ni kosa kwenye michezo, na ni muda sahihi sasa kwa wachezaji kuwa na management na wanasheria.Chuki za kishamba hizi,
Huyu dogo Kuna watu wanampotosha kwa maslahi Yao BINAFSI[emoji3525]
Kwanini isiwezekane? Kwani Malaika?Yani Hersi atume watu wamtukane Feisail na Mama?!
Nitakua wa mwisho kuamini hii. Kuhusu mkataba naweza kuamini, Bongo magumashi mengi.
Tusubiri upande wa pili kama wataona inafaa kujibu.
Huyu binti Kazumari na Fei mtoto itakuwa wanagonga kizamuzamu, wote machoko fresh.Haya wana Yanga SC mnaomtaka Feisal Salum 'Feitoto' muondoeni upesi Uongozini Rais wenu Injinia Hersi Said ili arejee hata leo.
Chanzo Taarifa: Jemedari Said Bin Kazumari akiongea Mubashara muda mfupi uliopita katika Kipindi cha Michezo cha EFM cha Sports Headquarters.
Kazi ipo....!!
Watu wa michezo wameshaingia sasa... hata mada zimeanza kuelewekaKuna interview moja Feisal alifanya na Azam, akasema Simba walienda na dau dogo akakataa leo anasema Simba walitoa 25 Yanga akatoa 10, ni vile tuu hawa watangazaji wetu hua hawana taarifa za kutosha,
Ile interview ya leo Clouds walipaswa wawe na mtu wa michezo pia
Katika hali ya kawaida ukifikiria utagundua kuwa hiyo miaka ilyoandikwa kwenye mkataba aliijua na aliridhika nayo. Nasema hivyo kwasababu baada ya Feisal kusaini mkataba wa kuongeza miaka Yanga, vyombo vya habari vikaripoti kuwa Feisal asaini miaka mitatu Yanga. Ina maana Feisal sio mfuatilia wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kiasi kwamba asijue kumbe maandishi yameenda kinyume na tulivyoongea mdomoni? Kwanini alilikalia kimya swala la muda wa mkataba kipindi chote hiko?Inawezekana upo sawa ila Dogo ameshasema tangu anasaini mkataba alisaini kwa kumuamini Hersi, hata mkataba hakuchukua Kumbe Hersi walichozungumza sicho alichokiandika kwenye mkataba.
Hili ni tatizo ambalo kisheria atashindwa ila ni wazi kuwa kuna kiongozi anafanya maisha ya Fei hapo Yanga kuwa magumu. Kama ni sahihi, Katika mazingira haya mchezaji anaweza kuamua potelea mbali,IMETOSHA ngoja nijaribu nikishindwa nitakaa mtaani.
Yani kwa kifupi anasema waondoke GSM yeye ndio arudi Yanga.Mara Manyanyaso,Ghalib kamsema vibaya,Mara Hersi. Yaani tumtoe Hersi kisa ww urudi yaani unajiona ww Yanga ndio kila kitu.Wewe kama umeamua kuendesha mambo kihuni, Yanga inaendesha mambo kisheria,endelea kuchangisha hela tutakutana CAS.
View attachment 2642150
Tumtoe Hersi mmoja wa aliyefanya Yanga ipate msimu bora wa mafanikio kuliko misimu yote kisa utoto wako.
Sikiliza interview acha kuleta ushabiki maandazi [emoji41]Yani kwa kifupi anasema waondoke GSM yeye ndio arudi Yanga.
Yani mtoto wa kiume akishaanza kuinamishwa basi kichwani kunabaki empty.
Hivi hii Kenge yeye ndio angekuwa Mayele ingekuwaje?
Wewe ni jinga kabisa sina muda wa kusikiliza machoko.Sikiliza interview acha kuleta ushabiki maandazi [emoji41]
Aisee, kumbe watu wa Yanga wanamchangia kimya kimya halafu wanasema ni Simba?"Mimi Nina rafiki na ndugu na wengine wapo humo humo ndani ya klabu ya yanga ndiyo walinichangia kurudisha pesa ili nivunje mkataba"