changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Tatizo sio hiyo miaka 3, tatizo lipo kwenye unyanyasaji uliendelea na amefanya kazi kwa shida.
Sikiliza mahojiano yake.
Fei yupo tayari arudi mtaani kuliko kufanya kazi na Eng Hersi. Alichofanyiwa na Eng. Hersi hataki kufanya naye kazi tena.
Unanyanyaswa na bado unasaini mkataba mwingine wa kuongeza miaka ya kuitumikia timu inayokunyanyasa.