je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Bongo ubabaishaji ni mkubwa sana .amini usiamini ukisikia mchezaji kapewa Milion 50 sijui ngapi .ujue kabisa ni uongo ni katika kupamba tu hayo magazeti Huwa yanapozwa yaongeze sifuri mbili kweli .
Wachezaji WA kitanzania Huwa wanapewa mwisho Milion 10 signing fees.
Magezeti sasa ndio mlipuko sio WA kawaida
Hata hiyo Milion 4 tunayosikia alikuwa akilipwa pia usikute sio kweli
Mshahara usikute ni laki 7 tu .
Bongo nyoso
Kama ni kweli feisal hiki ndicho kukuta basi nipo radhi kukuchangia uende cas
Yanga Kuna watu Wana roho mbaya sana ila kucha kutwa kuvaaa kanzu nyeupe kujifanya watu safi.