Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Tatizo sio hiyo miaka 3, tatizo lipo kwenye unyanyasaji uliendelea na amefanya kazi kwa shida.

Sikiliza mahojiano yake.

Fei yupo tayari arudi mtaani kuliko kufanya kazi na Eng Hersi. Alichofanyiwa na Eng. Hersi hataki kufanya naye kazi tena.

Unanyanyaswa na bado unasaini mkataba mwingine wa kuongeza miaka ya kuitumikia timu inayokunyanyasa.
 
Hivi huyu dogo ana elimu gani?
Ama kweli huyu ni bora angezaliwa mwanamke. Kuna faida gani kuzaliwa mwanaume halafu akili ni ya mama? Kila saa mama !
Aondoe ubin wa baba aweke wa mamake!
 
Kwani kuna kulipwa ada ya kuanzisha uzi? Relax brother
 
utoto rahaa ila utajuta ukifika umri wa uzee
So ukidhalilishiwa mama Yako saivi uitiwe wewe njoo hapa kwanini umechelewa ndio maana mama Yako ni mavi maana wewe ni mdogo bado unakaa hapo ukiwa mkubwa unakaa tu maana wewe ni upo yanga hivi ukionewa hela haiji Kwa wakati unatishiwa maisha,unateswa hupewi mahitaji unakaa tu unatukaniwa familia unakaa tu . Wewe ni wale ambao mke anamtusi na kumvua mama Yako nguo hujali walahuumii
 
"Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."

Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Kingereza hajui masikini weee
 
Mbona alipokua anatangazwa kua kasaini miaka3 alikua akichekelea kwa pembeni na hakulalamika. Au na kiswahili nacho hajui
 
Nipo upande wake lakini hapo kwenye kutokujua mkataba unasemaje sababu ni wa kingeleza namlaumu. Kwanini asaini dili kubwa kama hii bila kuwa na mtalamu wa hata mambo
Shidaa ilianzia hapaaa...na ndo tatizo la wabongo hili
 
Maelezo ya Fei umesoma lakini?? Kuna kitu mie nimekionaa hapa ndo kinacholeta huu mgogoro
 
Ingekuwa ndivyo angeondoka tangu siku alipokuwa analishwa ugali na sukari
Ni mara ngapi yanga imeshtakiwa na makocha na wachezaji Kwa kutofuata mkataba uliosainiwa? Unatanguliza ushabiki badala ya kutumia akili.
Samatta aliwahi kuwagomea Simba Kwa kutotekelza mkataba kama ulivyotaka. Klabu za kariakoo hasa Yanga sio ya kuiwekea dhamana.
 
Amesema hana team inayomtakaaa, sasa wee bibi unazungumza nn??
 
haaaa....eti alitoa pasi kwa Mayele akakosa goli akaambiwa anauza mechi...[emoji2][emoji2][emoji2]
Utoto huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…