Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"
elimu ya Baba yake Messi na Mama yake Feisal zipo level moja?
 
Dogo angeendelea kusema tuu haitaki Yanga basi..ila hilo ya kutaka raisi wao aondoke yeye arudi anajikuta nani yeye?
 
Kilichopo ni kwamba makubaliano ya kuongea walipokutana ni tofauti na kilichopo kwenye mkataba, Fei hajui Kingereza yeye alienda kusaini tu.

Ndo maana yaliyotokea ni haya ya miaka mitatu kwa Hersi, na miwili kwa Feisal.
Siku zote humu tunasema Yanga ni wahuni watu wanatuona kama tuna spread chuki
 
bongo wachezaji wengi sana hili linawakuta....
wao huwa wanaamini maneno waliyoambiwa, hawasomi mikataba au hawajui kusoma kingereza (au lugha ya kisheria),
umefika wakati wachezaji waanze kuwa na wawakilishi wao, maana kwa sasa ligi yetu ina pesa!
Sahihi
 
Hakuna kipengele kilichopo kwenye mkataba kilichovunjwa,CAS wataangalia mkataba unasemaje na unatekelezwaje
Wakiangalia mkataba yanga hawatoboi, CAS wataangalia kuna kipengele cha kuvunja mkataba na kama kipo kinamtaka fei afanye nini basi hawaangalii sababu za kuvunja mkataba, ndiomaana siku zote wachezaji huwa wanashinda huko CAS
 
Yani Hersi atume watu wamtukane Feisail na Mama?!

Nitakua wa mwisho kuamini hii. Kuhusu mkataba naweza kuamini, Bongo magumashi mengi.

Tusubiri upande wa pili kama wataona inafaa kujibu.
tena tusi lenyewe eti andazi [emoji2]
 
Mbona alipokua anatangazwa kua kasaini miaka3 alikua akichekelea kwa pembeni na hakulalamika. Au na kiswahili nacho hajui
Mbona ameshajibu hili. Fei anaipenda Yanga, na kuendelea kuwepo hapo halikuwa tatizo, tatizo ni kiongozi ambaye ana mambo yake anayoyajua na Fei, na amemnyanyasa sasa imefika sehemu kaamua bora kubaki mtaani kuliko kufanya naye kazi.
 
Yani kwa kifupi anasema waondoke GSM yeye ndio arudi Yanga.

Yani mtoto wa kiume akishaanza kuinamishwa basi kichwani kunabaki empty.

Hivi hii Kenge yeye ndio angekuwa Mayele ingekuwaje?
Leo wanayangaa kindaki ndakii mmasema Fei ana inamishwaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaa sasa woiiiiih
 
elimu ya Baba yake Messi na Mama yake Feisal zipo level moja?
Labda unijuze,Baba yake Messi ana elimu gani na Mama yake Feisal ana elimu gani? na unatakiwa kua na elimu gani ili umuongoze mwanao?

Pia comment niliyoiquote haikulenga elimu bali ililenga kwa kusema "Kuhusu mtoto kusimamiwa maamuzi na Mama yake"
 
Kwahiyo mtu wa michezo hukumuona pale?
 
Makosa bado ni yake kwa sababu kama angekua na mtu wa kumsaidia hili lisingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…