ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
elimu ya Baba yake Messi na Mama yake Feisal zipo level moja?Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"