Sasa mbna Fei bado anabakizwaa tyuh na mshahara analipwa km kawaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kutowasili eneo lako la kazi sio kigezo tosha cha kuvunja mkataba na mwajiriwa?
Halafu swala 5.Huyu dg haamiki, Kuna kipindi cha nyuma aliwahi kusema kwamba alichagua kucheza yanga kwa sababu yanga walimpa hela nyingi kuliko Simba LAKINI leo anaongea tofauti. Ana ndimi mbili haaminiki.
Aende huko Man utd hapa Yanga hatuna huo utamaduniSuala la elimu ni kwa wote ndugu yaani Fei na Yanga. Mchezaji anaiongelea vibaya klabu kwamba ilikuwa inachelewesha mishahara mpaka anakula ugali na sukari lakini kutokana na klabu kuendeshwa kienyeji na kimihemko klabu inataka kumkomoa mchezaji na kuleta uswahili badala ya kuachana nae Kwa makubaliano.
Man U walipokejeliwa Tu na Ronaldo fasta wakaterminate mkataba Kwa makubaliano. Nyinyi waswahili mnataka mpaka mumuone kijana akitembelea ndala zilizotoboka ndio itakuwa furaha kwenu wakati kuna mengine anaongea ukweli kabisa.
Hutaki Hersi awe exposed?Tayari kuna uzi humu umeshafunguliwa Moderator walipaswa kuunganisha uzi
Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...www.jamiiforums.com
Bibi kaja kwa speed...Amesema hana team inayomtakaaa, sasa wee bibi unazungumza nn??
Mtakuwa wasengerema wa kiwango cha SGR kama maneno ya fei yatawatoa wachezaji kwenye reli, kwamfano kiaje mnatoka mchezoni?Swali: Ni kwa nini kila Yanga inapokuwa na mechi ngumu ndio Feisal utokea mafichoni kuitowa Yanga kwenye mstari?
Kwanini hua mnawaza haya mambo? kuna vitu ni aibu hata kuviandika tu,ukiona mtu ana andika vitu kama hivi tena bila wasiwasi with full confidence basi tambua kua huyo mtu huenda ndio michezo yake hiyo.Kwenye kunyanyasa ukute sijui aliombwa tigooo[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Endelea hivyo hivyo anakuhitaji kipindi hikiUkiacha mambo ya Usimba na Uyanga, binafsi namuunga mkono Feisal. Popote kwenye dhulma na dharau shetani yupo hapo ananawiri. Nimeshakuwa muhanga wa hayo mambo najua hisia zake.
Baadhi ya watu ishu kama hizi wanazitazama kishabiki! Kila upande hapo una mokosa na solution ni kukaa chini kuyamaliza kwa uzuri tu!Pepo Iko chini ya mama yake mzazi wamuache amsikilize mama yake Ndo kiumbe pekee mkweli ktk uso wa ardhi
Nampenda Pia anamjua Mungu
Kumbe fei ni choko, sasa si mruhusu choko aondoke tuWewe ni jinga kabisa sina muda wa kusikiliza machoko.
Unaposema aondoke Engineer Hersi automatically unasema waondoke GSM.
👉Nimenyanyaswa sana nikiwa Yanga,nimeambiwa nauza mechi na viongozi.
👉Nimekaa na Hersi na Makamu wake masaa 6 nikamwambia yanayonisibu dhidi yake akaniomba radhi akasema tusameheane nikamwambia nimekusamehe lakini nataka kuondoka.
Akasema sisi bado tunakuhitaji, nikamwambia mimi siwezi tena kuendelea na Yanga, naomba niondoke.
Akasisitiza nibaki nikamwambia basi wanipe siku 3 niongee na familia yangu.
👉Mkataba huu nilio nao wakati nasaini mama aliniambia nitasaini mkataba wa miaka 2 lakini Hersi akaniongezea ikawa 3 bila mimi kujua.
👉Mkataba uliandikwa Kingereza na mimi Kingereza sijui na nilikuwa pekeyangu. Wao walikuwa Saimon, Hersi, Arafat na Mdhamini.
👉Mama yangu ni mpenzi mkubwa sana wa Yanga na yeye ndiye aliyenipambania wakati Yanga mambo yakiwa mabaya alikuwa ananipa pesa yake mwenyewe.
👉Nimekula Ugali na Sukari wakati Yanga ikiwa na hali mbaya sio sasahivi.
👉Wanamtukana na kunyanayasa pepo yangu, mama yangu ndiyo pepo yangu mimi halafu anafananishwa na andazi kweli?
👉Nawapenda sana mashabiki wa Yanga na najua wananipenda pia, hawajui niliyopitia wanaambiwa uongo wanamtukana mama yangu na mimi mwenyewe.
👉 Simkimbii Hersi nimkimbie ili iweje Kwani Mimi nimeua? Nimekaa nae yeye na Makamu wake masaa 6
My Take
Msimamo wangu ni kwamba Yanga sio club ya kwenda mtu makini. Imejaa uhuni na wahuni
Something huuuge behind curtainsNimemsikiliza Fei, ugomvi wake ni na Hersi, na kuliko afanye naye kazi ni bora abaki mtaani. Dah, sijui jamaa kamfanya nini.
Prezooo yulee hashindwiii kabisaaa, na anavyopenda sasa, mweeeeehKwenye kunyanyasa ukute sijui aliombwa tigooo[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Nimeandika hapo afanye bidii amuone GSM.Amesema hana team inayomtakaaa, sasa wee bibi unazungumza nn??
Kwa hiyo miaka3 alikubaliana nayo na sio aliwekewa bila kujua kama alivosema. Akae zake kitaa mpaka 2024. Na ile milioni 100 alio rudishiwa haitoshi kwenda cas au fatma karume kaimaliza yote.Mbona ameshajibu hili. Fei anaipenda Yanga, na kuendelea kuwepo hapo halikuwa tatizo, tatizo ni kiongozi ambaye ana mambo yake anayoyajua na Fei, na amemnyanyasa sasa imefika sehemu kaamua bora kubaki mtaani kuliko kufanya naye kazi.
Wapuuzi mashabiki WA utoKabisaaa ushabiki umewajaaa, na mtu kasema hataki kubaki Yanga si wamuachee aondokeee
Mama yake Pepo yakeHivi huyu dogo ana elimu gani?
Ama kweli huyu ni bora angezaliwa mwanamke. Kuna faida gani kuzaliwa mwanaume halafu akili ni ya mama? Kila saa mama !
Aondoe ubin wa baba aweke wa mamake!