residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Point ya muhimu sana hii.Wafuasi mna imani sana. Hapa sio mambo ya emotional mkuu ni swala la mpunga na kutumia akili.
Mtaani watu kama jpm wapo wengi sana. Akipata kidogo tu anaamini anaweza kufanya kila kitu kwa hicho hicho kidogo mwisho wa siku anapitia wakati mgumu sana mambo yoote yanakwama.
Mfano kama angeanzisha Bwawa pekee sasa hivi tungekuwa tunasubiri Ufunguzi tu. One at a time.
Ndugu goroko77 ,upo MoE!!? Nina kampuni zangu mbili za kusambaza umeme wa REA nataka unisaidie kitu.Mshahara wake akiwa Tanesco ni milion 36 akakuruoushwa na jiwe la msingi kaenda kuwa mwalimu chuo cha Tanesco
Akaja wizarani kama mkurugenzi wa nishati jadilifu sasa Ni katibu mkuu una jambo katika malipo ya escrow huyu bwana analifahamu
Mwisho atarejeshwa ktk nafasi yake
Kwa ujazo, Ila concern ya mleta mada iliegemea ukubwa kwa mita za mraba.Ukubwa wa bwawa unapimwa kwa mita za mraba au mita za ujazo?
Jamaa alikuwa na ambitions za hatari ila kwenye kuzitekeleza ikawa ndio mtihaniJPM namkubali kwenye mambo mawili tu.
Mosi,alikuwa na nia njema ya kuhakikisha hii nchi inapiga hatua kubwa kimaendeleo.
Pili,ni ile kutaka kutujenga Watanzania tujitegemee wenyewe kuleta maendeleo yetu, kwani hakuna shangazi wala mjomba wa kutupa maendekeo.
Tatizo lake ni kujiona kuwa yeye ni mwenye akili kuliko Watanzania wote hivyo kutotaka kusikia na kufuata ushauri wa wengine hasa wataalamu na washauri/wasaidizi wake, kisa tu kawa rais, wakati kumbe ni "below average".
Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5
Kwa hiyo Magufuli alitu danganya aliposema litaisha kabla ya novemba?Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.
Kujenga a mega project kama JNHP kwa kasi waitakayo wananchi na wanasiasa ni kujitegea time bombs.
Sijui wengine akili wanaziweka wapi wanapojadili masuala nyeti, muhimu na hatari kwa maendeleo na uhai. Ndiyo tunahitaji umeme wa uhakika lakini tujue kuwa miradi ya mabwawa ya umeme ni hatarishi. Inahitaji muda na umakini!
Pamoja na mambo mengine... nchini Ethiopia Grand Ethiopian Renaissance Dam ujenzi ulianza 2011 na kukamilika 2020. GERD imeanza kazi 2022.
Tujiandae kisaikolojia. JNHP itachukua muda mrefu zaidi.
Bahati mbaya sana hiyo miradi ukiipeleka kwa “mzungu” hatataka hata kuisikia hiyo “plan” yako. Hivyo, hadi leo hakuna mzungu anayetaka kutoa madolari yanayohitajika.hakuna hasara wala ubaya kuwa na miradi mingi na mikubwa kwa nchi yenye utajiri kama bongo , ile ni akili kubwa , dawa ni kuzuia ufisadi na kutafuta pesa ya kukamilisha hizo miradi!
ukienda kwa mzungu kuomba pesa swali lake ni moja tu "do you have a plan?" ukimpa plan yako anaicheki akiona plan ina akili anakupa madolari!!
unafikiri kwanini hakuna mzungu alie tayari kutoa madolari? think big here ndo utaelewa maana ya kumuita Chuma cha pua Magufuli.Bahati mbaya sana hiyo miradi ukiipeleka kwa “mzungu” hatataka hata kuisikia hiyo “plan” yako. Hivyo, hadi leo hakuna mzungu anayetaka kutoa madolari yanayohitajika.
Btw hiyo miradi ina feasibility studies na implementation plans za uhakika? Iko kwenye mpango wa muda mrefu wa maendeleo wa taifa?
Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2244046
Sijui habari za "siasa" kwenye mradi huo, ila najua Magufuli hakuwa mwanasiasa. Kwa hiyo sioni siasa pale, ila uhitaji wa mradi huo sioni shaka juu yake.Tatizo la kwanza kwenye huo mradi tangu unaanza ni kutanguliwa na siasa nyingi badala ya utaalamu, tatizo la pili ni kukosekana uwazi katika mchakato wake mzima hadi kampuni ya wamisiri ilipoanza kujenga.
Pia Kuna uongo mwingi sana raia wameaminishwa kuhuusu huo mradi.
Si hivi tunawasema mkuu, au unataka tuwaseme vipi?Sasa kama sio wajinga mtawafanya nini? mna mahakama ya kuwashitaki? Acha tu kuwashtaki je kuwwsema tu hadharani mna uwezo huo
kwa hiyo katibu unataka kutuambia nini watanzania ? tugeukie gesi ya ntwara ama ?Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Lakini hufahamu hasara na adha waliyopata waliohamia Dodoma bila maandalizi ya kutosha. Kwanza vifaa vingi vya ofisi viliharibika wakati wa usafirishaji. Pili ofisi hazikuwepo na kujibanza UDOM na baadhi ya Wizara kwenye majengo mengine ya kupanga. Tatu ofisi za muda zilizojengwa Mtumba ni ndogo mno ofisi inayotakiwa kukaa afisa 1 kuna maafisa 4 . Chumba cha maafisa 6 wanakaa hadi 15!! Utadhani darasa!!!Ye angeweza. Ni uthubutu tu. Kwani mangapi yameanzishwa na yamefanyika. Kuna lecturer mmoja aliniambia wakati serikali inaanza mchakato wa makao makuu dom kuwa hautafanikiwa kabisa. Baadae ye nae akawa mpiga tarumbeta. Nadhani hakuamini kilichotokea.
Kumbe alijua kuwa ana muda mchache wa kuishi sasa haya maneno kuwa aliuawa yametoka wapi!!!!🤔🤔🤔Sifa kwa maslahi mapana ya nchi.
Kwenda kustarehe Ulaya na kuanzisha miradi mikubwa kwa nchi, yupi mpenda sifa?.
Alijua ana muda mchache wa kuishi hivyo akagusa kila pahala kwa maslahi ya nchi.
Miradi yote inaendelea kujengwa bhana!!!Matokeo yake miradi yote imekufa
Serikali ya kitapeli imejaza matapeli kwenye systemKatibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2244046
Punguza hasira mkuu, umeme wa nchi 60% unazalishwa kwa gesi so unaposema JNHPP Inacheleweshwa kisa ufisadi haingii akilini, kwanini ufisadi usifanyike kwenye Bomba la gesi ambako ndio expensive kufanya maintenance na kufua umeme??Huyu ni Katibu Mkuu wa Wizara husika.
Maana ya lugha hiyo ni kuwaandaa watu wakubali mipango ya kifisadi inayoandaliwa kwenye wizara hiyo.
Kesho utasikia habari za mipango ya dharura inayohitajika kufanywa ili nchi isiwe gizani.
Hawa watu ni wapuuzi sana, wanafikiri waTanzania ni wajinga.
Kabla ya ujenzi kuanza, mkandarasi na wataalam huko Tanesco hawakujua kuwa itahitaji muda mrefu kukamilisha ujenzi huo? Hii miradi inafanywa tu kwa kubahatisha bila ya kuwa na upambanuzi juu yake kuhusu muda utakaohitajika kuikamilisha?
Hayo mabwawa anayotolea mifano yake, yalijengwa kwa muda huo wakitumia teknologia gani? Leo hii hapajakuwepo na maendeleo/mabadiliko yoyote katika ujenzi wa mabawa haya?
Huku kuwadharau waTanzania kiasi hiki kunatokana hasa na nini?
Hawa watu inatakiwa kuwatafutia njia za kuwatia adabu, kwa sababu sasa wamevuka mipaka kabisa katika kuwaona waTanzania kuwa mabwege.
Nafikiri huyu dingi ana cha kujifunza kwenye maneno yake mwenyewe.Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2244046
Walikurupuka tu hata Dodoma Bado mambo mengi hakuna, airport yenyewe ndio kwanza inajengwa hizo gharama zote ndio zimekula Hela ya kufanya hiyo Miradi mikubwa. Pato la trillion 1.5 huwezi fanya Miradi ya combined 20+ Trillion kwa mkupuo.Ye angeweza. Ni uthubutu tu. Kwani mangapi yameanzishwa na yamefanyika. Kuna lecturer mmoja aliniambia wakati serikali inaanza mchakato wa makao makuu dom kuwa hautafanikiwa kabisa. Baadae ye nae akawa mpiga tarumbeta. Nadhani hakuamini kilichotokea.
Unafahamu utaratibu na factors zinazofanya nchi kuwa uchumi wa kati? Maana unavyoongea utadhani JPM alikuta ni zero yeye akaipaisha hapo ilipo.Sema walioachiwa ndo hawana akili. Boss aliipeleka nchi uchumi wa kati ndani ya muda mfupi, niamini mimi angeliendelea kuwepo ingekamilika ndani ya muda wake. Waliobakia ndo AKILI KISODA KUMUDU HEKAHEKA HIZO.