Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

Wewe mshamba tu umeshindwa kwenye SikilizaTogo......sijui upumbavu gani
 
Ili usinielewe itakupasa uwe na akili ndogo Sana, au uwe na akili za kike zilizoumizwa.

Wengi hunielewa mwishoni, ninachofanya hapa ni kwaajili ya Vijana wadogo ambao wengi hamkupelekwa jando, na hamna akili za Kiume
Ndo akili zako zinavyokutuma ukipewa makavu laivu bila chenga......
 
Upo deep sana mkuu
 
Hongera sana kwa andiko zuri, umeeleweka vizuri, kwa kuwa umeeleza ukweli hakika. Utaeleweka vizuri kwa wale wanaoyaishi haya maisha kiuhalisia na kupingwa sana na wale akili ndogo ambazo huona kubisha ndo kunawafanya wawe na hadhi wanayojipa, hawa huwa hawajengi hoja they just criticise. Heko.
 
Kutowajibika kwa mwanaume kama kichwa lawama zinawaangukia wanawake, haingii akilini siku hizi unakuta meneja, mkurugenzi, waziri hadi rais mwanamke.........hii shida ilianzia wapi? mwanamke anakuwaje kiongozi wakati wanaume wapo? Kwa hiyo ukifuatilia chanzo ni utaahira wa wanaume wenyewe kushindwa majukumu yao ya kuwa vichwa na viongozi kwenye nyanja zote za maisha na sasa ndo tunashuhudia wanawake wanaongoza kuanzia familia hadi ngazi ya taifa. Na hii inajidhihirisha kwa mambo mengi kuharibika au kutofikia malengo kwa kuwaruhusu wanawake kuwa viongozi au kufanya majukumu ambayo wanaume wanatakiwa wayafanye wenyewe kwa usahihi au kwa ufanisi na kwa kuwajibika vilivyo.​
 

Kuwaruhusu Wanawake kuingia kwenye majukumu ya Mwanaume kumelengwa kuiangamiza jamii na kuwapa Dada zetu mzigo zaidi huku wanaume wakipata unafuu katika majukumu Yao.

Mwanamke hajaumbwa kupata shurba, Mateso na mahangaiko, walioleta huu mfumo wa ufeminist agenda yao ya Siri ni kumdhalilisha mwanamke, kumtwisha mizigo isiyoyake na kumtesa.

Asikuambie mtu Wanawake wanateseka kwenye Ground isivyokawaida,
Wanaume kutegea majukumu Yao inatokana na wao kuamua kuuruhusu mfumo jike.

Kwa mfano Kwenye mfumo Dume hakuna tatizo la Ajira Kwa sababu mwanaume anaweza kufanya kazi yoyote, lakini mfumo jike kuna kuchagua kazi kwani mwanamke yupo limited kimaumbile na kiakili kufanya kazi.

Vijana wengi mfumo jike unawanufaisha ndio maana hawataki kuoa na inakuwa rahisi kutekeleza majukumu Kwa wanawake, lakini kwenye mfumo Dume ni ngumu kutekeleza majukumu.
Kama ni mtoto utalea, Kama ni mke utamtunza.

Siku hizi wanawake imefikia hatua wanajidhalilisha Kwa kuvuja jasho na kutunza wanaume Vijana wenye nguvu kabisa za kufanya kazi.
Mwisho WA siku wanaachwa na maumivu makali Kwa sababu siku watagundua mwanaume hawezi kuwa na Mwanamke mmoja. Hivyo jitihada zake za kumtunza Mwanamke akidhani atakuwa pekeake ni Sawa na kupoteza nguvu za bure
 


🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kama Shetani hachoki na hakati tamaa iweje Sisi tukate tamaa
 
Single moms mnakuwa na stress sana
 
Single moms mnakuwa na stress sana
Usually feminist kama akawa wa kiume au wa kike huwa wana-panic kiwepesi sana wakiambiwa ukweli!

Ukitaka kuamini maneno yangu nenda kamuulize hawara wa mama yako Dalali Pengo atakwambia tabia zake zilivyokuwa zinafanana na zako.
 
Usually feminist kama akawa wa kiume au wa kike huwa wana-panic kiwepesi sana wakiambiwa ukweli!

Ukitaka kuamini maneno yangu nenda kamuulize hawara wa mama yako Dalali Pengo atakwambia tabia zake zilivyokuwa zinafanana na zako.
Tafuta mwanaume akutulize upunguze shobo
 
Mkuu shtuka, feminism inalenga kufifisha nguvu ya utawala na uongozi ya mwanaume hivyo mwathirika mkuu ni mwanaume na siyo mwanamke. Kuvurugika kwa mfumo wa maisha hata kama unaonekana kumwathiri mawanamke huo tayari ni mzigo kwa mwanaume maana yeye ndo anawajibika kwa kila kitu ikiwemo kuhakikisha kunakuwa na social order.​
 
Mshana Jr aliropoka

 
'Kumsikiliza mwanamke ni kutaka maanguko tuu. Kwanza mwanamke akili yake haioni mbali, yeye anachotaka ni kutatua tatizo lililopo mbele yake tu'.
HAPA NDIPO KWENYE TATIZO KUBWA.
Ndio maana
mwanamke ni mtaji wa manabii na mitume
mwanamke ni mtaji wa waganga wa kienyeji
mwanamke ni mtaji wa wanasiasa.
na vyote hivi muathirika wa kwanza ni yeye!

HARAKATI ZA KUTETEA WANAWAKE NI BIASHARA KUBWA DUNIANI KOTE, SHIDA IPO KWENYE MAONO WAO HAWAONI.!
NDIO MAANA KUNA;
siku ya mtoto wa kike duniani
siku ya mwanamke duniani
siku ya wajane duniani
siku ya mama duniani, nk nk
kutakuja kuwepo kwa siku ya singo maza duniani

NI MWENDO WA HARAKATI TU DHIDI YA WANAUME., NI MWENDO WA KUPAMBANA NA ADUI USIYEMJUA!
MWANAUME HAJAWAI KUWA ADUI YA MWANAMKE KWA SBB MWANAMKE NI SEHEMU YA MWANAUME. HARAKATI ZAO ZINAFANYA WASHINDWE KUPAMBANA NA ADUI MKUU:

1.ADUI WA KWANZA NI MALEZI NA MAKUZI
ANGALIA HESHIMA, NIDHAMU, ADABU, AKILI YA WATOTO WA SASA NA MIAKA 10 TU ILIYOPITA., NI TOFAUTI NA SASA
WANAHARAKATI WANATAKA UZAE NA UTUNZE WATOTO PEKEYAKO,WAKATI MALEZI NI YA WAWILI. NA NDIO MAANA MASHOGA NI WENGI, HAWA NI WALE WALE WATOTO WA MAMA/WAMELELEWA NA MAMA.
NA USHOGA UNA ANZIA NDANI. HAUSAMBAZWI NA INZI, WALA SIO ULEMAVU. NI TABIA
[ SASA HIVI KWENYE MIJI MIKUBWA, ZILE SHEREHE ZA WANAWAKE, SHEREHE ZA MADADA WA MJINI ZINATOA MIALIKO KWA MASHOGA MAARUFU, WENYE MAJINA. LENGO KUU NI KUWAAMBIA WANAWAKE
KUZAA SHOGA NI KITU CHA KAWAIDA TU ]
NAAM SISI MARIJALI TUNA NAFASI PANA YA KUPATA UCHI,
WA MWANAMKE NA HAO WATOTO WA MAMA 😂
NA HUTAKUJA SIKIA WANAHARAKATI WAKISISITIZA MALEZI AU KUPINGA USHOGA, WAO NI WANAUME TU

KUNA MALEZI NA MAKUZI YA WANAUME BAADHI YAMEWAFANYA KUWA KATILI KWA MWANAMKE NA HII HAIKUBALIKI NA MUNGU HATA SHETANI PIA. KULE KANDA YA ZIWA KUNA WANAUME KUUA,KUPIGA MKE KWAO NI KAWAIDA TU KAMA KUPIGA MBWA!!!

2. TOFAUTI KUBWA YA JINSIA
HAKUNA PRORAM/PLAN ZA KUHAMASISHA WATU KUZAA WATOTO KWA UWIANO WA JINSIA.
UNAWEZA KUWA NA PESA, BIASHARA, UZURI, ELIMU, CHEO, NK NK., NAFASI YA MWANAUME IKO PALE PALE.
BILA KUJALI KAMA NI MWANAHARAKATI AU LA,KILA MTU ANAHITAJI MTU WA JINSIA TOFAUTI NA YEYE
ILI AKAMILIKE. NI RAHISI MDOMONI KUSEMA MWANAUME/KE WA NINI, LAKINI MOYONI TUNAVUMILIA TU.
NJAA YA MWILI,INASHIBISHWA NA UNYUMBA, SIO VIDOLE WALA MIDOLI. UNYUMBA NI TIBA YA MWILI, AKILI
NA ROHO!


# NA HARAKATI ZIENDELEE
 
Unaongea uhalisia uliopo mtaani kabisa, kiukweli hali ni mbaya sana ila ndiyo hivyo tu wanakaza shingo.
 
Alikombolewa wapi, na lini alikuwa utumwani?

Msichokijua Ke huwa ni mwongo sana anapotaka kujitetea, ndiyomaana Ke akiamua kuvunja ndoa ni rahisi sana.

Atamsingizia Me kuwa anataka kumla puru ilihali hakuna ukweli wowote.
Hukuzingatia fungal na fungua semi kwenye sentensi yangu
 
Sumari

Summarize mkuu
Big issue to talk. Nimechukua miaka mi3 kuwa elew hawa jamaa wa feminism wanadai nn. Mwanaume kuwa kiongoz Kuna shida, hii haimaanishi mwanamke atuongoze. Kuna jamii nyingine mwanaume anapigwa makofi Kwa Nn hajapika wakati mwanamke yupo kazini. Mwanaume anapika chakula anaonja chumvi, anatandika kitanda na anapaka losheni vizur kabisa ili mwanamke aje ajilie vitu vyake.
 
Hapo ni ishu ya tamaduni na umasikini (marioo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…