Ni akaunti yako ipi inapokea pesa ya sikukuu?Mods comment Kama hii inapaswa kuhifadhiwa katika servers za Jamii forums.Acha niwe wife material niendelee kufaidi huduma za huyu baba jaman kuliko kujitutumua kushindwa kumnyenyekea halali yangu nianze kuvamia ndoa za watu nizae kila mtoto na baba yake kisa tu nimeshindwa kuwa mtii kwa mme wangu ambaye Mungubamemfananisha na kanisa mpaka kamuita kichwaaaa......nawashangaa wanawake wanaoshupaza shingo kujidai super women huku wanavizia waume za watu wanaanza kupata mb** za foleni!!! Ndoa Ina raha yake bhana,watt wanafaidi kuona baba na mama mnaishi pamoja!!!
Tunasolve vipi suala hili? Maana ni mfumo wa kufikiri (mindset) utasikia una kazi yako mwanaume kitu gani?Feminist anaamini kwa kuwa anafanya kazi na kuingiza mshahara na marupurupu hio hela inatosha kununua kipengele cha utii. Kwake kumtii mume inakuwa ni option sababu ana kazi yake
Kuna wakati naona hawa viumbe hawakutakiwa kupata elimu kabisa ndio maana Kuna baadhi ya nchi zinapiga marufuku wao kuwa na elimu kubwa , kwasababu hawajui kubalance shobo kabisaFeminist anaamini kwa kuwa anafanya kazi na kuingiza mshahara na marupurupu hio hela inatosha kununua kipengele cha utii. Kwake kumtii mume inakuwa ni option sababu ana kazi yake
Hahaaaaa.......umetisha mkuuu,thamani ya kitu ukikose mkuu,mme wangu alinizalishaga kabla hajanioa basi nilikuwa nasikia vibaya niliona mme mke na watt wameongozana nikawa natamani ningekuwa ni Mimi,huyu baba kanioa Leo nijidai nasema haki sawa??? Haki ya nyoko aiseeee!!!! Acha nimtii huyu Kaka ananiheshimisha Sana jaman,ananipa kampani nzuri Sana,Mungu nitunzie mme wng jamn kwa utukufu wa jina laki!!!Ni akaunti yako ipi inapokea pesa ya sikukuu?Mods comment Kama hii inapaswa kuhifadhiwa katika servers za Jamii forums.
Unastahili kuongezewa ulinzi ebenezaa
Ndiyo maana dada zetu hutamka " Nimeolewa " Tulifunga ndoa" Tulifunga pingu za Maisha . Siyo Tulioana no and never.Asante mkuu, huo ndio utamaduni wetu haya mambo ya "marry each other " tuwaachie wazungu
Kumbe wanawake wenye akili bado wapo aisee[emoji1666][emoji1666] ubarikiwe sana , maana yanayoendelea hivi sasa ni simanzi kwakweli ,unakuta mwanamke ananyonyesha ila hataki kunyonyesha ikifika weekend usiku mtoto anaachiwa mwanaume yeye anaenda bar kula bia mtaani kuna ujinga mwingi sana.Acha niwe wife material niendelee kufaidi huduma za huyu baba jaman kuliko kujitutumua kushindwa kumnyenyekea halali yangu nianze kuvamia ndoa za watu nizae kila mtoto na baba yake kisa tu nimeshindwa kuwa mtii kwa mme wangu ambaye Mungubamemfananisha na kanisa mpaka kamuita kichwaaaa......nawashangaa wanawake wanaoshupaza shingo kujidai super women huku wanavizia waume za watu wanaanza kupata mb** za foleni!!! Ndoa Ina raha yake bhana,watt wanafaidi kuona baba na mama mnaishi pamoja!!!
Hivi sasa hayo yanatokea .Wanaume pia wamepungukiwa uwezo wa kuoa. Wengi hawana uwezo huo, wanaweza kuoana au kuolewa. Wanawake wameweza kutafuta kipato kuliko baadhi ya wanaume, kampuni za kubet zimeharibu uwezo wa uzalishaji wa vijana na degree zao, maofisini wanawake wamepewa nafasi nyingi za ajira ilihali wanataka kuolewa, wanaotakiwa kuwaoa wapo mtaani. Huko tunakoelekea huenda wanaume watatolewa mahari na kutunzwa ndani.
Inategemea a na mwanaume aiseee,hivi mme kamili anaejielewa ataruhusu kweli mke aache mtt akanywe pombe kweli??? Kwanza mme gan anaefunguamlango mke aingie katoka kulewa????Kumbe wanawake wenye akili bado wapo aisee[emoji1666][emoji1666] ubarikiwe sana , maana yanayoendelea hivi sasa ni simanzi kwakweli ,unakuta mwanamke ananyonyesha ila hataki kunyonyesha ikifika weekend usiku mtoto anaachiwa mwanaume yeye anaenda bar kula bia mtaani kuna ujinga mwingi sana.
Ni kweli, angalau huko vijijini bado mwanaume ana nafasi ila mjini hali ni mbaya sana. Vijana wanaoa kwa picha tu ila katika uhalisia hawana uwezo wa kuihudimia familia.Hivi sasa hayo yanatokea .
Ukiyba kidogo unalelewa ,ukizembea nafasi inachukuliwa unapinduliwa unabaki kama mwali .
Maana upande wa pili twawajua wakisimamia show two weeks ushaolewa tayari .
Gadem
Hivi yale maandiko yanasemaje tenaaa.Feminist anaamini kwa kuwa anafanya kazi na kuingiza mshahara na marupurupu hio hela inatosha kununua kipengele cha utii. Kwake kumtii mume inakuwa ni option sababu ana kazi yake
Pamoja na kuwa nitakuwa nipo nje ya mada, naamini kuwa Head of Household haina jinsi (sex). Head of Household inategemea na uwezo wa kifedha wa member of the household anaocontribute katika household husika. Kama mwanamke ana uwezo wa kifedha katika hiyo household na ndiye anacontribute lion share, basi yeye ndiye mkuu wa household.Hivi kwani kazi za kufanya usafi ndani ya nyumba na kupika ni kazi za nani kwenye familia mkuu?