Feminist wamefika 😁😁😁Kumbe unafanya hvyo ili uendelee kufaidi huduma za huyo baba. Sasa unajua tatizo lilipo? Tafuta pesa zako mwenyewee ili ujihudumie, acha kuhudumiwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo langu na wewe lipo hapo unapokataa neno kuoana na kulihusisha na usawa au majukumu ya kwenye ndoa. They got nothing, and I mean nothing to do with kuoana, kuolewa or kuoa.I think we're on same boat, Mimi pia siungi harakati za usawa kwenye ndoa!
Kama hujafuatilia vizuri, jaribu kudadisi uhusiano uliopo Kati ya kuoana na usawa katika ndoa. Wanawake wanaosema tumeoana asilimia nyingi wanahitaji usawa kwenye ndoa.Tatizo langu na wewe lipo hapo unapokataa neno kuoana na kulihusisha na usawa au majukumu ya kwenye ndoa. They got nothing, and I mean nothing to do with kuoana, kuolewa or kuoa.
Khaaaaaah kwahyo kumbe tatizo n ratiba za kudeki na kuosha vyombo.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wife material ndiye anafaa!
Habari za kupangiwa ratiba za kudeki na kuosha vyombo ndio siwezi, huo usawa kwangu NOOOO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya hongera.Hela ninazo dada Tena nafanya kazi moja na mme wangu Ila Kuna Raha mke kuhudumiwa Bwana......
kama mnaoana, nini kinafanya muachane wakati mlishaona?
Kuna nyakati Binadamu wanaishi kwa kutegemea hope. Unalala ukihope utaamka, unasafiri ukihope utafika, Unaoa ukihope utafanya kazi na kuihudumia familia. Kuna nyakati hope inafeli, unalala huamki, unasafiri hufiki, unaoa unashindwa kuihudumia familia.In that scenario kwa nini aliamua kuoa?
Ndio, masuala ya ukatili haya. unakuta mtu anaosha vyombo in the name of kumjali mke wake! Feminist mtuache kabisaaa 😁😁Khaaaaaah kwahyo kumbe tatizo n ratiba za kudeki na kuosha vyombo.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kiufupi tu; hapo ndipo elimu yetu imetufikisha.Kuna nyakati Binadamu wanaishi kwa kutegemea hope. Unalala ukihope utaamka, unasafiri ukihope utafika, Unaoa ukihope utafanya kazi na kuihudumia familia. Kuna nyakati hope inafeli, unalala huamki, unasafiri hufiki, unaoa unashindwa kuihudumia familia.
Kwa kawaida mwanaume anapofeli mwanamke anashika usukani kwa muda huku akili yake akiielekeza kumrudisha mwanaume wake kwenye nafasi yake. Tatizo la siku hizi ni either:
1. wanawake hawafikirii kuwarudisha wanaume zao kwenye nafasi zao wanafikiria kuchukua nafasi zao ili wawapeleke na kuwacontrol watakavyo. Au
2. Kuna wanaume wamekuwa wavivu, watu wa kuhonga michepuko, wakwepa majukumu, akili ndogo, kuwa na ndoto zisizotekelezeka hivyo mwanamke anaona si salama kuweka imani kwa mwanaume wa aina hiyo.
Hiyo namba 2 ukweli mtupuKuna nyakati Binadamu wanaishi kwa kutegemea hope. Unalala ukihope utaamka, unasafiri ukihope utafika, Unaoa ukihope utafanya kazi na kuihudumia familia. Kuna nyakati hope inafeli, unalala huamki, unasafiri hufiki, unaoa unashindwa kuihudumia familia.
Kwa kawaida mwanaume anapofeli mwanamke anashika usukani kwa muda huku akili yake akiielekeza kumrudisha mwanaume wake kwenye nafasi yake. Tatizo la siku hizi ni either:
1. wanawake hawafikirii kuwarudisha wanaume zao kwenye nafasi zao wanafikiria kuchukua nafasi zao ili wawapeleke na kuwacontrol watakavyo. Au
2. Kuna wanaume wamekuwa wavivu, watu wa kuhonga michepuko, wakwepa majukumu, akili ndogo, kuwa na ndoto zisizotekelezeka hivyo mwanamke anaona si salama kuweka imani kwa mwanaume wa aina hiyo.
Si mnaachana tyuuh.kama mnaoana, nini kinafanya muachane wakati mlishaona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baki bachelor, usitafute mwenzaa.Ndio, masuala ya ukatili haya. unakuta mtu anaosha vyombo in the name of kumjali mke wake! Feminist mtuache kabisaaa [emoji16][emoji16]
Na ukianza kujihudumia tu jua umeisha. Automatiy unajitengeneza kuwa single mother anayedharaulikaKumbe unafanya hvyo ili uendelee kufaidi huduma za huyo baba. Sasa unajua tatizo lilipo? Tafuta pesa zako mwenyewee ili ujihudumie, acha kuhudumiwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujafuatilia vizuri, jaribu kudadisi uhusiano uliopo Kati ya kuoana na usawa katika ndoa. Wanawake wanaosema tumeoana asilimia nyingi wanahitaji usawa kwenye ndoa.
Fafanua zaidi kuhusu elimu boss kwa maslahi ya wasomaji.kiufupi tu; hapo ndipo elimu yetu imetufikisha.
Sharti la ndoa ni kusaidiana kudeki na vyombo? 😁😁Mwanaume nitahudumia familia mwanamke atailea na kuhakikisha mazingira (usafi nk) viko sawa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baki bachelor, usitafute mwenzaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliosoma Cuba tumekuelewa sana tuMkuu wangu labda nikwambie..kwenye ndoa yangu nitabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume kila mtu na ayatimize majukumu yake ipasavyo.
Sijui umenielewa
Kama sio uzazi ndoa kwa ujumla wake imenidisappointed sana!