Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota


REGARDE MOI jamaa kafanya balaa kubwa sana kwenye kuimba aisee
Amepiga vocal moja hatari kweny very high peak
 
Nitaendelea kumpenda na kusikilizia nyimbo zake lepadre ferre gola, katika siku zote nitazoishi duniani nikiwa hai.
 
Kuna dude nimeliona hapo la kuitwa Jugement jamaa kalamika humo, huwa nairudia hata mara mia.... jamaa ndo mkali wangu kwa Wacongo!!
 
Sijawahi kuielewa mizik ya bolingo kutoka congo huko au hapa bongo ..nipo sanaa kwen R&B na kidogo kweny Regge
 
Moja kati ya wanamzuki wazuri sana ndani ya DRC, na hana kibengo jamaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…