Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu hapa. LolKama uwezo wake n wa hapa na pale katika kulisakata kabumbu haki yake kulipwa hvyo
Atafute wakala aka winga mZur kwenye majadiliano ya kimkataba si unamuona samia ELIMU yake ni ya hapa na pale lakn anaye winga aka wakala mkal naye n jakaya kikwete anampambania kwa watanganyika
Kawaida mkataba wa kwanza hulipwi pesa nyingi. Hata kina saka walishalipwa paund elfu 30 lakini Sasa?Unalipwa kwa kiwango chako na jinsi unavyoweza kunegotiate kwenye meza ya makubaliano.
Ulaya huko kuna watu wanalipwa dola 250k kwa wiki na wengine dola 10k kwa wiki timu ni moja..
Salah na mane mshahara ulikuwa tofauti sana, mane alizidiwa hadi na henderson