FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Mi nataka kujua kwanini wenzetu wanajaza viwanja mashabiki halafu huku kwetu wanazuia?
 
Kuna kitu kimefanyika pale sio bure, kuna lipumbafu limeshika laser lakini polisi wala referee hawakuthubutu kusema chochote,ni dhahiri senegal amebebwa.
Aliyekudanganya kuwa hata Egypt nae huwa habebwi ni nani? Kuna Watu ni Wapuuzi sana hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tupumzike pia.
 
Sasa hizo taa chimbuko lake ni Egypt hata mechi za simba na al ahly walikuwa warabu wanatumia hvyo tena hao Senegal hawajui kutumia vizuri kama wenyewe waarabu utadhani kuna director kiufupi waarabu ni wabaguzi sana afadhali wametolewa wanafigisu sana hao kwao ndio maana wakikutana na team zinazocheza mpira hawatoboi.
 
Unateseka ukiwa wapi
 
Hata Misri walifanya kule kwao na Senegal wamewaiga tu walichofanyiwa
 
Acha uboya basi Senegal wanastahili kufuzu haya mashindano.. kama hujuma ya mataa si wangefungwa mapema Toka dakika 90 za Mwanzo.. tuache tusherehekee ushindi wetu
Imewaathiri zaidi kwenye penalti, golkipa anajiandaa kudaka anapigwa na tochi ta machoni...mchezaji anajiandaa kupiga nae anapigwa na tochi machoni
 
Aliyekudanganya kuwa hata Egypt nae huwa habebwi ni nani? Kuna Watu ni Wapuuzi sana hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tupumzike pia.
Corona ikawaondoa wa maana ikatuachia hawa mashudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…