Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Walikuwa wakielekeza machoni kwa wachezaji wa Misri, na sio wakati wote, mchezaji akiwa anapiga faulo au penalti anamulikwa na mwanga mkali usoniIna maana ilikuwa ikifika zamu ya wachezaji wao kuwa na mpira au kupiga penalti walikuwa wanazima (sikuangalia mpira I have to declare), kama la hizo laser beam zilikuwa na shida kwa wote! Inanikumbusha kuna timu ilicheza (ga) uwanja fulani ulikuwa umejaa maji, na wakalalamika kuwa wamepoteza mchezo kwa sababu ya uwanja kujaa maji, mashabiki wakawauliza kwani wale wenzenu mliocheza nao walikuwa samaki?
Egypt ile inayokaba 90 mins itanfunga nani Huko?
Kama wameshindwa kumfunga Senegal kwanzia afcon mpaka sasa watamfunga nani Huko.?
🤣🤣 hivi jana ulijisikiaje ndugu yangu baada ya lile goli la dkk ya mwisho lililoizamisha timu yako pendwa Algeria?
hawa waarabu siwapendi hata bure sijui kwann Tunisia na Morocco wafuzu au basi tu
Walikuwa wakielekeza machoni kwa wachezaji wa Misri, na sio wakati wote, mchezaji akiwa anapiga faulo au penalti anamulikwa na mwanga mkali usoni
Golikipa naye akiwa anajiandaa kudaka faulo au penalti, au kukiwa na mpira wa hatari langoni kwake anamulikwa na mwanga mkali usoni
Hahahaa. Unaachiwaje wakati umejisahau. 🤣🤣Nimeumia sana bi shadeeya, hao cameroon wangewaachia algeria wakatuwakilisha. Algeria w/c wanafanya vizuri
Hahahaaa. Ile game na Senegal sikuujutia usingizi wangu kwa kweli. Na Misri alipelekwa hatari.Egypt hawana lolote kwa sasa, hawana tofauti na taifa stars
Wenyewe wamelalamika?Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Hahahaaa. Ile game na Senegal sikuujutia usingizi wangu kwa kweli. Na Misri alipelekwa hatari.
Japo after 120 mins nilipandwa Presha pale walipo anza kukosa zile penalties.
Pia nadhani wajipange upya huenda wakarudi na ule moto wao wa zamani.
Hahahaa. Unaachiwaje wakati umejisahau. 🤣🤣
Natumai hata hao Cameroon wanaeza fanya vizuri pia.
Kwa nini wasingegoma kupiga penalti mpaka matochi yaondolewe?Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Kwa nini wasingegoma kupiga penalti mpaka matochi yaondolewe?
Nadhani hizi tabia zimeanzishwa na nchi za kiarabu wakiongozwa na Misri + Sudan enzi hizoNimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Iziii habarii mnazoandika iziiiii anatolewa na wakatiii kadhapangwa kwenye hatua ya makundiiiiiiNimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Angegoma kukaa goliniKipa wao alimlalamikia sana refer kabla ya Penalties lakini refer alikausha 🤣 mwenyewe sikupenda