BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Eeeh kamanda hatari sana , noma mzee wanguKumbe ununaongea latino hahah
Kama ww umezoea kutoa Tako sio wote tuna tabia hiyo mkuu ww endelea nayo tu maana kupanga ni kuchaguaKama unampenda sana messi... Kampe Tako mkuu!!!
Kumchukia Messi ni kuuchukia mpira [emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]Kuna watu hawakosi sababu, watamtafutia kila aina ya kasoro, kwanza ilikua oh hana kombe la dunia/timu ya taifa, jamaa akawaonyeshea akabeba makombe matatu ndani ya mwaka mmoja
World cup[emoji471]france kadundwa
Copa America [emoji471]Brazil kadundwa
Kombe la mabara[emoji471]Italy kadundwa
Sasa wamebaki na msemo ballon za mchongo [emoji1]
Maradona na Messi wamenifanya niupende Mpira....
Sasa nimegundua wewe mahaba yamekuharibu.MKuu hakuna tofauti kubwa kati ya ligi ya Bongo na US, kuwa kacheza Pele sio hoja, US ni taifa kubwa kwahiyo hayo mambo mengine ni rahisi kuwezekana sio kwa sababu ya standard yao ya mpira.
Hajaacha kombe lolote lile yote kabeba hata hili wanapigaga kines pale angeshiriki angebebamchezaji bora wa karne lionel messi
mchezaji bora wa muda wote lionel messi
mshindi wa makombe yote. dunian lionel messi
Hata ungekuwa wewe kaupiga toka 2009 mpaka leo na makombe back to back anapumzisha mwili, ila uliona mach ya brazil na argentina juz juz ambapo Brazil aligongwa kwao goli moja ? Au nenda kaangalie hii world cup ya juz player rating zake za game moja moja the guy is a super genious when it comes to football, ndio mana waandish wa habari waliposema halland utakuwa kama Mess, Pep akasema hao wanakupiga fix mimi sijawah fundisha mchezaji mwenye talent kama Messi, Messi kashindikana hakuna wa kumfananisha nae yan anawapita mbali sana, kuna sehemu nlisoma wameandika kuhusu ma šwa Muda wote naona Messi namba 1 alafu ronaldo namba 6 yan mtu hata hajui fainali ya world cup utamfanishaje na mtu alieliongoza kosi mpaka kubeba kombe lenyewe tena mbele ya Ufaransa ya moto, kwa Ufaransa ile portugal akipata hata goli Nahara mafungu mafungu Tanzania to Egypt.Messi Kaisha sana. Hata huko Inter Miami aliko siku hizi anakaa benchi muda mrefu sana.
Leta mchezaji wako wowote tufanye kucompare na kucontrast, nimekupa option pana yeyote Duniani alafu Me nasimama na LA PULGA, yeyote unaetaka wewe mleteDunia ipi? MLS ama? hata huko ameshindwa
Messi ni hatari sana watu wa ulaya hawawez kumpa mtu crown zote zile bure bure jamaa anatandika boliiKuna watu hawakosi sababu, watamtafutia kila aina ya kasoro, kwanza ilikua oh hana kombe la dunia/timu ya taifa, jamaa akawaonyeshea akabeba makombe matatu ndani ya mwaka mmoja
World cupšfrance kadundwa
Copa America šBrazil kadundwa
Kombe la mabarašItaly kadundwa
Sasa wamebaki na msemo ballon za mchongo š
Maradona na Messi wamenifanya niupende Mpira....
Messi ni hatari sana watu wa ulaya hawawez kumpa mtu crown zote zile bure bure jamaa anatandika bolii
Kumchukia Messi ni kuuchukia mpira [emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]
Messi Kaisha sana. Hata huko Inter Miami aliko siku hizi anakaa benchi muda mrefu sana.
Hapa ndo utawaweza wabongo , ukitaja takwimu wanatulia wengi ni "mahaba niue" lakini data hawanaLeta mchezaji wako wowote tufanye kucompare na kucontrast, nimekupa option pana yeyote Duniani alafu Me nasimama na LA PULGA, yeyote unaetaka wewe mlete