FIFA waja na Kituko cha Karne

FIFA waja na Kituko cha Karne

Kuna watu hawakosi sababu, watamtafutia kila aina ya kasoro, kwanza ilikua oh hana kombe la dunia/timu ya taifa, jamaa akawaonyeshea akabeba makombe matatu ndani ya mwaka mmoja
World cup🏆france kadundwa
Copa America 🏆Brazil kadundwa
Kombe la mabara🏆Italy kadundwa

Sasa wamebaki na msemo ballon za mchongo 😄

Maradona na Messi wamenifanya niupende Mpira....
 
Kuna watu hawakosi sababu, watamtafutia kila aina ya kasoro, kwanza ilikua oh hana kombe la dunia/timu ya taifa, jamaa akawaonyeshea akabeba makombe matatu ndani ya mwaka mmoja
World cup[emoji471]france kadundwa
Copa America [emoji471]Brazil kadundwa
Kombe la mabara[emoji471]Italy kadundwa

Sasa wamebaki na msemo ballon za mchongo [emoji1]

Maradona na Messi wamenifanya niupende Mpira....
Kumchukia Messi ni kuuchukia mpira [emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Messi Kaisha sana. Hata huko Inter Miami aliko siku hizi anakaa benchi muda mrefu sana.
 
Mbona Simba haifany vzr lkn wameingia kwenye kushindania world club cup ilihali yanga wametemwa
 
Messi Kaisha sana. Hata huko Inter Miami aliko siku hizi anakaa benchi muda mrefu sana.
Hata ungekuwa wewe kaupiga toka 2009 mpaka leo na makombe back to back anapumzisha mwili, ila uliona mach ya brazil na argentina juz juz ambapo Brazil aligongwa kwao goli moja ? Au nenda kaangalie hii world cup ya juz player rating zake za game moja moja the guy is a super genious when it comes to football, ndio mana waandish wa habari waliposema halland utakuwa kama Mess, Pep akasema hao wanakupiga fix mimi sijawah fundisha mchezaji mwenye talent kama Messi, Messi kashindikana hakuna wa kumfananisha nae yan anawapita mbali sana, kuna sehemu nlisoma wameandika kuhusu ma 🐐wa Muda wote naona Messi namba 1 alafu ronaldo namba 6 yan mtu hata hajui fainali ya world cup utamfanishaje na mtu alieliongoza kosi mpaka kubeba kombe lenyewe tena mbele ya Ufaransa ya moto, kwa Ufaransa ile portugal akipata hata goli Nahara mafungu mafungu Tanzania to Egypt.
 
Kuna watu hawakosi sababu, watamtafutia kila aina ya kasoro, kwanza ilikua oh hana kombe la dunia/timu ya taifa, jamaa akawaonyeshea akabeba makombe matatu ndani ya mwaka mmoja
World cup🏆france kadundwa
Copa America 🏆Brazil kadundwa
Kombe la mabara🏆Italy kadundwa

Sasa wamebaki na msemo ballon za mchongo 😄

Maradona na Messi wamenifanya niupende Mpira....
Messi ni hatari sana watu wa ulaya hawawez kumpa mtu crown zote zile bure bure jamaa anatandika bolii
 
3265865337031356311.jpg.png
 
Ni shabiki wa Barca na Argentina na nina mkubali sana Messi ila toka Messi abebe uchezaji bora mbele ya Iniesta na Xavi baada ya WC 2010 niliona fifa wana siasa nyingi.
 
Back
Top Bottom