Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Ya kipuuzi kivipi wakati kama miaka mitatu mfululizo timu zao zinacheza both Europa na CL finals??
hata uingereza zilicheza hivyo,na kuna kipindi ilikuwa zamu ya ac milan.bado ujifunze kwanza kutofautisha timu nzuri na ligi nzuri.ligi nzuri ni uwiano wa upinzani baina ya timu na timu.sio upinzani wa timu mbili miaka mingi.
 
hata uingereza zilicheza hivyo,na kuna kipindi ilikuwa zamu ya ac milan.bado ujifunze kwanza kutofautisha timu nzuri na ligi nzuri.ligi nzuri ni uwiano wa upinzani baina ya timu na timu.sio upinzani wa timu mbili miaka mingi.
EPL hakuna mpira wowote.. Mitimu yao inalingana viwango ndio maana wanamenyana ovyo
 
EPL hakuna mpira wowote.. Mitimu yao inalingana viwango ndio maana wanamenyana ovyo
ungekua unafatilia mpira na upeo japo wa mtoto wa darasa la 7 usingeongea hivo,juzi xavi kasema kama barcelona na madrid wangehamia epl wasingechukua ubingwa msimu wao wa kwanza
 
Waingereza huwa wananichekesha sana... Wanasema wao ndio walianzisha mpira huku duniani, Sasa wenzao Wamarekani wanawacheka, wanawaambia kwanini mnasema mlianzisha mpira wakati hamshindi chochote kwenye mashindano ya kimataifa yama World Cup au Europe Cup... Wenzao wamarekani wanasema tulianzisha Basketball na kweli Olympics zote wao ndio wanachukua Gold Medal...

Ifike mahali Uingereza wakubali kwamba wao ni vilaza kwenye mpira ila ni media tu inawabeba... Sasa yule wanayemwita White Pele Runinga hajawahi kuchukua kiatu cha mfungaji bora hata mara moja kwenye ligi yao... Wanachukua wageni tu kutoka nchi zingine..
 
Tusibishane kwa maneno matupu kwani kila mtu anajua kuongea
Tuangalie takwim tokea mwaka 2000 hadi 2015

Ni ligi ipi timu zao zimechukua Champion league mara nyingi

Ni ligi ipi imetoa mchezaji bora wa dunia mara nyingi

Ni ligi ipi kati ya hizo imebeba kombe la Uropa league mara nyingi

Ni ligi ipi kati ya hizo imebeba kombe la super cup mara nyingi

Ni nchi ipi kati ya hizo imechukua kombe la dunia na euro

hapo tutakata mzizi wa fitina
 
ligi haibebi kombe,timu ndiyo inabeba kombe,mashindano ya mtoano ni tofauti na ligi
 
La liga ....ni ya team mbili tu.angalia leo spurs vs leicster city ni bonge ya match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…