NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
hata uingereza zilicheza hivyo,na kuna kipindi ilikuwa zamu ya ac milan.bado ujifunze kwanza kutofautisha timu nzuri na ligi nzuri.ligi nzuri ni uwiano wa upinzani baina ya timu na timu.sio upinzani wa timu mbili miaka mingi.Ya kipuuzi kivipi wakati kama miaka mitatu mfululizo timu zao zinacheza both Europa na CL finals??